Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Tundu Lissu akisimama ni wazi atashinda.Kwa kuwa anaweza ku-shoot na ku-defend tofauti na wenzake.Akinadiwa na wazee wa nchi,atamshinda Magufuli kirahisi maana Magufuli hatapata kura za vijana,wafanyakazi,wafanyabiashara kabisa
 
Tundu lisu yupo vizuri na anamzidi mheshimiwa kabisa kwenye kitu kimoja tu, "kuropoka kisheria".

Sidhani hata jimbo lake anaweza kulisimamia vizuri, achilia mbali hiyo TLS, itafuata migogoro tu huko TLS hadi mda wake uishe.
 
Nyongeza ya mwaka ya mshahara kwa watumishi wa umma iko kisheria lakini huyu mtukufu wetu ambaye pia ni Dikteta ametoa agizo watumishi wasipewe hiyo nyongeza mpaka itakapofikia 2020 ili waweze kumchagua yeye. Halafu ndo CCM wanasema anazingatia utawala wa sheria.
Magufuli ameshasema yeye ni rais wa wanyonge, so lazima idadi ya wanyonge izidi ili kujihakikishia ushindi. Ifikapo 2020 wafanyakazi watampa kura kwa vile kwa unyonge wao watapewa nyongeza ya kununulia unga, na watamzawadia kura.
 
Mkuu Paskali, hata Tundu mwenyewe anajua kuwa ni mzuri sana kwenye nafasi ya kuongea hovyo na kukosoa lakini si utekelezaji. TLS sasa imeshamshinda,hakuna linalofanyika kwa manufaa ya wanasheria.
Haya maneno na hizo tabia huwa sizitofautishi na 'uchawi' unamzuia mtu kufanya kazi yake kwa uhuru huku ukiminya muda wake halafu unasema ameshindwa kutekeleza majukumu yake, kwa ujinga gani au upofu gani walio nao raia wote sasa?
 
Kwa vile wewe unaongea kisukuma basi kabla ya hoja hii mwambie Magufuli aruhusu siasa halafu ndio uje na haya.

Mmewafunga watu midomo halafu mnakuja na propaganda za kichovu , wakati magufuli anaongea anavyotaka , huyu lissu unayemuandika kila akiongea mnatuma polisi wenu kumkamata !

Wekeni kwanza uwanja sawa , huyo ndugu yako kama anafanya vizuri hofu yake kwa hawa wapinzani wachovu ni nini ?
 
Tundu is a poor choice! Too biased to one corner., we need an all rounder president., either from CCM or opposition.
Zitto is toxic and Mbowe is old story, EL is too tainted.
Our oppositions in a bad state.

If i were CDM i would start grooming new candidates before its too late.
 
Tetty,
Hivi amesema Tundu Lissu ni zaidi ya Magufuli kwa lipi?

Unaweza ukajikuta una justify the opposite.

Pia usi generalize issues. Uongozi ni suala la mtu binafsi na sio alichosomea.
 
Back
Top Bottom