Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,825
- 40,347
Serikali nzima imeingia aibu yani tunawaona mnavyoangalia BBC vyumbani mwenu kwa aibu maana mkiangalia sebuleni hata watoto zenu watawauliza baba/mama huyu ndio mlitaka kumuua kwann? Aliwakosea nn?
Angalau aibu haitakuwepo kwa mama Samia na wote walioenda kumuona hao mwenyezi mungu amewasamehe ila wale wengine na waliokataa kumtibu aibu Hii itawatafuna mpk mnaingia kaburini na siku akiingia bungeni sijui sura zenu mtazificha wapi kwakweli mlaaniwe milele aibu iwe juu yenu
Lissu mungu ana sababu za kulinda uhai wako pia sio wote walioko serikalini na kwenye kitengo walipendezwa na shambulio lile hao mungu aendelee kuwapa moyo mkuu wa kuchukia uovu