Tundu Lissu Ndani ya BBC--Focus On Africa

Tundu Lissu Ndani ya BBC--Focus On Africa

Lissu zuzu tu. Na hakuna atakachopata kwenye siasa za Tanzania zaidi ya mateso. Anasema hana adui wa binafsi kwa hiyo kapigwa risasi na serikali.
Hafikirii nje ya boksi. Humo kwenye chama chake hakuna wanaotishiwa na kukua kwa umaarufu wake kisiasa. Hakuna watakaonufaika akiwa mlemavu ila anaendelea kubwabwaja na kuwapa kiki?
Kweli kabisaa na ujinga wake anaamini lile lilikuwa ni shambulio la kumuuwa? Kama hao wasiojulikana walipewa silaha za vita, magari, walinzi kuondolewa mpaka kamera ziling’olewa walishindwa vipi kuhakikisha wanamuuwa? Walikuwa na haraka gani ya kuondoka?
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Halafu ana Phd lakini lugha haipandi kapita O level, A level, Bachelor, Masters na Phd lakini lugha inamgonga. Sijui hiyo thesis aliiandikaje.
Wewe lugha inapanda? Mnasikitisha unajua. No sense at all. Lugha ya kigeni ni nini ajabu MTU akiteleza.
Come on guys, you can do more
 
Kwani hao wakina DAB wameomba msamaha mpaka awasamehe?
Nimerejerea maandiko, maandiko yanasema "ndugu yako akikukosea..... " kwa hiyo aliyetendewa ndo analazimika kusamehe. Kumbuka Yesu alisamehe watesi wake bila wao kuomba msamaha. Hata hivyo kwa ubinadamu wetu hatuwezi kumjua kabisa mhusika wa tukio la lisu. Hivyo ni bora kusamehe kutimiza matakwa ya Muumba ambaye ndiye aliyemuokoa na kifo.
 
Lissu zuzu tu. Na hakuna atakachopata kwenye siasa za Tanzania zaidi ya mateso. Anasema hana adui wa binafsi kwa hiyo kapigwa risasi na serikali.
Hafikirii nje ya boksi. Humo kwenye chama chake hakuna wanaotishiwa na kukua kwa umaarufu wake kisiasa. Hakuna watakaonufaika akiwa mlemavu ila anaendelea kubwabwaja na kuwapa kiki?
Kweli kabisaa na ujinga wake anaamini lile lilikuwa ni shambulio la kumuuwa? Kama hao wasiojulikana walipewa silaha za vita, magari, walinzi kuondolewa mpaka kamera ziling’olewa walishindwa vipi kuhakikisha wanamuuwa? Walikuwa na haraka gani ya kuondoka?
Mjanja wewe unayefagia vyoo vya Lumumba.
 
Lissu ni nightmare come true kwa mshamba wa chattle na genge lake la wasiojulikana
 
Wewe lugha inapanda? Mnasikitisha unajua. No sense at all. Lugha ya kigeni ni nini ajabu MTU akiteleza.
Come on guys, you can do more
Hiki ni kingereza cha ukogo, ni bora uandike kwa kiswahili tu itapendeza zaidi.
 
Anataka kufosi apate sababu ya ukimbizi wa kisiasa.

Sidhani km anahitaji ukimbizi , akipona atarudi kuendeleza harakati zake,
Atakae shindana Tundu Lisu yamkini atakuwa anashindana na Mungu .
Nanina IMANI pasipo na shaka yeyote atashinda na atabadili sana hii nchi.
 
Anateleza kila siku kiasi cha kuhofia hata kusafiri nchi za nje au kwenye hafla za Kitaifa anaongea kiswahili na kusingizia eti anakuza kiswahili!!!! Mie sina matatizo na hiyo lugha namshukuru Mwenyezi Mungu kwa hilo.Kuna ajabu hiyo thesis yake aliandikaje? Au naye ana vyeti fake?

Wewe lugha inapanda? Mnasikitisha unajua. No sense at all. Lugha ya kigeni ni nini ajabu MTU akiteleza.
Come on guys, you can do more
 
Asije, nchi iko salama zaidi kama yeye anaona haiko salama ktk nyamja hiyo.
 
Bado Al-jazeera na CNN,na ambavyo jamaa English anaijua,dunia yote lazima ijue hali halisi ya Tanzania na yamkini hatua zikachukuliwa.
Tanzania ni tone la damu ktk bahari, haina impact kwa hao anaoenda waambia.
 
Back
Top Bottom