Tundu Lissu Ndani ya BBC--Focus On Africa

Tundu Lissu Ndani ya BBC--Focus On Africa

Lissu zuzu tu. Na hakuna atakachopata kwenye siasa za Tanzania zaidi ya mateso. Anasema hana adui wa binafsi kwa hiyo kapigwa risasi na serikali.
Hafikirii nje ya boksi. Humo kwenye chama chake hakuna wanaotishiwa na kukua kwa umaarufu wake kisiasa. Hakuna watakaonufaika akiwa mlemavu ila anaendelea kubwabwaja na kuwapa kiki?
Kweli kabisaa na ujinga wake anaamini lile lilikuwa ni shambulio la kumuuwa? Kama hao wasiojulikana walipewa silaha za vita, magari, walinzi kuondolewa mpaka kamera ziling’olewa walishindwa vipi kuhakikisha wanamuuwa? Walikuwa na haraka gani ya kuondoka?

Nimesoma comment yako mara tatu ili kuielewa, na mara nne kuanza kujibu ifuatavyo. Nilichogundua kupitia maandishi yako ni ugonjwa wa kiakili ulionao tangu mwanzo, sasa na hata milele. Pole sana kwa ugonjwa huo maana hautibiki bila [HASHTAG]#KUTUBU[/HASHTAG].
 
Zuzu.
 
Back
Top Bottom