Tundu Lissu Ndani ya BBC--Focus On Africa

Tundu Lissu Ndani ya BBC--Focus On Africa

Nani amekilii kosa ili msamahaa uwe wa kweli kutoka moyoni...

Maana ndungai anaona alichofanya ni sahihi wabunge baadhi wanaona ni sawa hawajui kama wanampaa machungu lissu sio lissu tu bali ni watu wengii sana wanapata machungu

Eti mtu anasema watu na askari kibiti wamekufa mbona hakuna anae semaa kuhusu hilo watu wanasema ila wanadharauliwa

Naamini watu wote waliopoteza roho zao huko kibiti na kwengineko wangepona kama alivo pona lissu wangekua upandee wa tundu... Lakini ndo washakufa hamna namna... Ila damu yao na roho zao zina msapoti lissu na Ndio maana unaona ujasiri alio kua nao lissu muda huu si wa binadamu wa kawaida

Kwani ulimboka yupo wapi na madaktari Walio tetewa wapo wapiiiii...

Acha tu watu walilie haki zao
 
Kama kutema ngeli ndio kutamfanya awe mzima basi sawa. Tsvangirai alitembea ulaya nzima na ung'eng'e wake sijui yuko wapi kwa sasa.
Na Mugabe yuko wapi?! Woote wako hospitalini wanatibiwa!! Kwa Mungu sote tuko sawa, japo kuna mijitu inajichukulia kuwa ndo wenye nchi . UPUMBAVU MTUPU
 
Lissu ni mgonjwa sana. Maana anaweweseka tu sasa hivi. Hajui anachokingea na amepta dementia. Tumuombee aisee, jamaa ni mgonjwa, na kurecover sijuiiiii
 
Hakunaga taifa la ufipa ilo unalijua wewe mgonjwa mtambuka wa akili

Namaanisha taifa LA Tanzania lililojaa wajinga
We ndo mjinga,mnamfanya tundu lisu ndo kafara yenu sa ivi zamu yenu kama mnapenda mabadiliko andamaneni siyo mnapinga kelele jf
 
Hakunaga taifa la ufipa ilo unalijua wewe mgonjwa mtambuka wa akili

Namaanisha taifa LA Tanzania lililojaa wajinga
Wajinga ni nyinyi hapo, Leo mnaambiwa Fulani fisadi kesho mnaambiwa sio fisadi, na mnafuata tu kama wale wanyama wafuatanavyo.
Alafu bila haya unaita wanaokataa huo unafiki ni wajinga.
Trust me, nyie ndio wajinga vibaya sana.
 
Bado Al-jazeera na CNN,na ambavyo jamaa English anaijua,dunia yote lazima ijue hali halisi ya Tanzania na yamkini hatua zikachukuliwa.
Hatua zikachukuliwa na nani, tutawaminya makende nyinyi na hao vibaraka wenu.
 
Back
Top Bottom