Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Duh.Msiojulikana.
Teh teh teh..
Duh.Msiojulikana.
Teh teh teh..
Hamna lolote mnataka kutusumbua kwenda huko kuweka mambo sawa wkt mnajua kbs lugha yetu ni kiswahili? na ughaibuni hatuendagiBado Al-jazeera na CNN,na ambavyo jamaa English anaijua,dunia yote lazima ijue hali halisi ya Tanzania na yamkini hatua zikachukuliwa.
ushauri waliupata kwa mahita wakajidanganya kuwa wakishamuua watakamata watu wawapeleke mahakamani kua ni wauaji wa lisu then mambo yaishe kumbe Mwenyezi Mungu alikua anawamonitor na mipango yao ikabuma sasa imekua ni disaster nadhani wanajutaBado Al-jazeera na CNN,na ambavyo jamaa English anaijua,dunia yote lazima ijue hali halisi ya Tanzania na yamkini hatua zikachukuliwa.
Hakuna chochote cha kutokea, katika Dunia hii , hakuna binadamu yeyote wa taifa lake ambaye alisigana na taifa lake akabaki Salama, nenda marekani, UK, Japan, German na kwingineko. Ukitaka kuingilia maslahi ya kitaifa lazima uondolewe kwa kupotezwa. JF Kennedy walipotezwa, ouko ( Kenya), kitu gani kimebadilika marekani or Kenya, watapiga kelele mwanzoni baadaye kimya kabisa na kubaki history.Bado Al-jazeera na CNN,na ambavyo jamaa English anaijua,dunia yote lazima ijue hali halisi ya Tanzania na yamkini hatua zikachukuliwa.
Nachosema kujua Lugha Raha sana,unajiamini Mpk basi.....huna haja ya kukwepa waandishi wa kigeni....
Kuna jamaa mmoja alihojiwa nashangaa alikuwa anajibiwa na mwenzake
Ova
Uneona ehh!Anataka kufosi apate sababu ya ukimbizi wa kisiasa.
Lisu ni wakupuuza Siku zoteMwambieni atangaze msamehe, hakuna shukrani anayoweza kuitoa kwa kuponywa kwake zaidi ya msamaha.
Nachosema kujua Lugha Raha sana,unajiamini Mpk basi.....huna haja ya kukwepa waandishi wa kigeni....
Kuna jamaa mmoja alihojiwa nashangaa alikuwa anajibiwa na mwenzake
Ova
Kwelili mkuu, mi nadhani lisu mmoja ni sawa na wana ccm 100 au Pole Pole 1000.Tungekua na Lissu kama mia moja Tanzania tungekua mbali
Mama kafanyaje mkuu, me co mpenz wa siasa ila ni mtazamo wangu nikijaribu kulinganisha individuals kwa hoja zao, sijaona mwana ccm wa kumfikia Lisu. Sio ccm tu, chama chochote hata CDM yenyewe. Na ndo maana kutaka kuuwawa. Fuatilia historia ya wanadiasa walio uwawa Duniani, ni most bright. Mtu km Pole Pole, kile kiatu alichovaa hakimtoshi, mara mia hata alivokuwa Nape. Labda Polepole angepewa Shule ya msingi awe mwalimu mkuu.Mama yako
Mpaka tulalamike?! Vyombo vya dola mnavyoviongoza ni vya nini?! Kwa nini visiwachukulie hatua kama ndio wenye matatizo ?!Bonde gani. Kama ni hiyvo nenda kamlalamikie Lowasa na Sumaye, au unawaogopa?
Kokolo, mtu kama Lissu ameingilia maslahi ya nchi wapi?! Katika swala lipi ?! Alichofanya Lissu ni kutetea hayo maslahi ya nchiHakuna chochote cha kutokea, katika Dunia hii , hakuna binadamu yeyote wa taifa lake ambaye alisigana na taifa lake akabaki Salama, nenda marekani, UK, Japan, German na kwingineko. Ukitaka kuingilia maslahi ya kitaifa lazima uondolewe kwa kupotezwa. JF Kennedy walipotezwa, ouko ( Kenya), kitu gani kimebadilika marekani or Kenya, watapiga kelele mwanzoni baadaye kimya kabisa na kubaki history.