Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,123
- 32,973
Anayeumwa ni Lisu, au umesahau?Unaumwa wewe
Anayeumwa ni Lisu, au umesahau?Unaumwa wewe
Kwa hiyo anakimbia?Afosi vipi wakati ziko wazi?
Hao wajinga wapo ufipa sio?...Namaanisha taifa LA Tanzania lililojaa wajinga
Hakuna kitu kizuri kama kujiamini n'a kuhojiwa na vyombo vya habari vya nje ...mtu unatema ngeli unajiaminiAnataka kufosi apate sababu ya ukimbizi wa kisiasa.
Raha sana kujua ngeli mkuuBado Al-jazeera na CNN,na ambavyo jamaa English anaijua,dunia yote lazima ijue hali halisi ya Tanzania na yamkini hatua zikachukuliwa.
Mbona humu wapo wengi tu mkuu,hata 1000 wanazidi,sema tu ni wa keyboard.Tungekua na Lissu kama mia moja Tanzania tungekua mbali
Kama kutema ngeli ndio kutamfanya awe mzima basi sawa. Tsvangirai alitembea ulaya nzima na ung'eng'e wake sijui yuko wapi kwa sasa.Hakuna kitu kizuri kama kujiamini n'a kuhojiwa na vyombo vya habari vya nje ...mtu unatema ngeli unajiamini
Ova
Anaumwa saratani, kuna uzi humu utafute, umetolewa leoKama kutema ngeli ndio kutamfanya awe mzima basi sawa. Tsvangirai alitembea ulaya nzima na ung'eng'e wake sijui yuko wapi kwa sasa.
Asiye na uelewa hukimbilia matusi!! Hayo usiyatarajie kwangu!! Wewe umesema tuhuma si za kweli , na mimi nimekutolea mfano moja ya kweli ...Kwa hiyo hoja ya Bombadier ndo ilifanya akawindwa huyo jamaa yenu?!!samahani jamaa yangu nahisi bado unaongea Upuuzi......!kwanza na wewe nahisi ni mjinga naomba tufunge mjadala
Magonjwa huko CCM kama kambale kila mtu ni kuporomosha matusi!!! Si wastaafu wala acting na hata members ni matusi tu!! . Mnaonyesha ambavyo hamna uvumilivu ktk timu LumumbaNdio maana Mkapa aliwaita malofa na wapumbavu. Hakukosea.
Nachosema kujua Lugha Raha sana,unajiamini Mpk basi.....huna haja ya kukwepa waandishi wa kigeni....Kama kutema ngeli ndio kutamfanya awe mzima basi sawa. Tsvangirai alitembea ulaya nzima na ung'eng'e wake sijui yuko wapi kwa sasa.
Kwa uwezo alionao ki elimu wala haitaji kutumia njia hiyo kuishi mahali popote duniani!! Yule sio kama kina chakubanga na maprof uchwara ambao wanadharirisha elimu zao ili wapate vyeo!!Anataka kufosi apate sababu ya ukimbizi wa kisiasa.
Ila huulizi huyo aliyekuwa akimsemea huko Ulaya (Mugabe) yuko wapi?Kama kutema ngeli ndio kutamfanya awe mzima basi sawa. Tsvangirai alitembea ulaya nzima na ung'eng'e wake sijui yuko wapi kwa sasa.
Hayo siyo matusi wewe....Magonjwa huko CCM kama kambale kila mtu ni kuporomosha matusi!!! Si wastaafu wala acting na hata members ni matusi tu!! . Mnaonyesha ambavyo hamna uvumilivu ktk timu Lumumba
Sasa mbona anatumia hiyo njia ya kupata ukimbizi. Urais wa TLS atammuachia nani?Kwa uwezo alionao ki elimu wala haitaji kutumia njia hiyo...
Ikiwa kuna "mawaziri wapumbavu" basi kuna "wanachama" wapumbavu pia.Ndio maana Mkapa aliwaita malofa na wapumbavu. Hakukosea.
Mugabe yupo Zimbabwe na anakula pensheni yake kwa raha zake. Huna habari hiyo?Ila huulizi huyo aliyekuwa akimsemea huko Ulaya (Mugabe) yuko wapi?