Tundu Lissu na CHADEMA mnavuna mlichopanda!

Tundu Lissu na CHADEMA mnavuna mlichopanda!

Endeleeni na uchaguzi wenu wa maigizo.Chadema ilibidi wapambanie kile wanachokiamini, mchezo wa kutegemea huruma za chama cha mapinduzi haufai ni bora kutoshiriki kabisa
Uzuri kajitambulisha kuwa mwana ccm bila kificho, ccm wote walitamani twende kwenye uchaguzi mwenyekiti wa chadema akiwa yule mtu wao.
 
Chadema chini ya Mh Lissu inapambania Haki,Utawala wa Sheria, Ulinzi wa Rasilimali za taifa kwa manufaa ya wote. Na kamwe si MADARAKA kama wafanyavyo CCM. Ninyi mko tayari kuteka kuua binadamu wenzenu wasio na hatia kisa MADARAKA.

Chadema haina mapolisi haina mahakama wala nafasi yeyote kwenye maamuzi. Lakini nikuhakikishie mtamalizana wenyewe kwa wenyewe. Mungu adhihakiwi. Ni wa Haki na kweli.
 
Katikati ya maandiko yako na ulichokiandika ni gereza kubwa la mtazamo, falsafa, Imani na mtazamo domestication of human mind. Jehanamu kama Duniani.
Siyo wewe ni hayo maeneo niliyoyaita gereza.
 
Hivi tunavyo ongea kama chadema wangetia mguu kwenye uchafuzi huu tayari tingekua tunasikia habari waliotekwa, uawa, funguliwa kesi, jeruhiwa, bambikiwa kesi, weka mahabusu. Chadema wameepusha yote hayo. Reforms zifanyike uchaguzi uwe huru. Watanzania wanaweza wakawa wakimya lakini kuna kitu kinafukuta
 
January 21, ilikuwa ile situation inaitwa 'NOW OR NEVER'.

Lissu amechelewa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Chadema ilihitaji Mwanamageuzi wa kweli. So, tuendako ni kuzuri sana. Kwa wewe unaewaza 2025GE ndio unaona ni kosa kubadili uongozi wa Chama.
 
Mie binafsi mtu akilaumu lissu kuhusu mambo yanayoendelea chadema simuelewi, hivi lissu ndo kaizuia chadema kufanya shughuli za kisiasa,?lissu ndo kaizuia ruzuku za Chama?
 
January 21, ilikuwa ile situation inaitwa 'NOW OR NEVER'.

Lissu amechelewa sana kuwa Mwenyekiti wa Chadema. Chadema ilihitaji Mwanamageuzi wa kweli. So, tuendako ni kuzuri sana. Kwa wewe unaewaza 2025GE ndio unaona ni kosa kubadili uongozi wa Chama.
Naunga mkono...tunapaswa kuwa na chama Cha upinzani chenye msimamo sio bendera fuata upepo kama chaumma
 
inasubiliwa kwahamu ilivopelekwa ikulu kutokea keko aliwakuta akina nani

Walisema nn ,akawajibu nn tunasubiri Kwa hamu
 
Wengi wao walishindwa kung'amua mapema kama lile lilikuwa goli aka frame ya biashara.
Na shida yao kubwa ni ujuaji hasa pale wanapogutuliwa.

Walitahadhalishwa juu ya biashara ya EL miaka mingi nyuma kabla ya 2015, wakawa wanakaza shingi.
Wakatahadhalishwa tena juu ya FAM wakawa wanakaza shingo na matusi juu..

Awamu ya nne wakapambana sana na JPM huku wakiwaunga mkono mtandao na kuwabatiza jina wafuasi wa JPM Sukima gang, wengi wakawa upande wa team JK na kumsifia sana JK.

Awamu ya tano paah, mwanzoni wakamsifia sana mama na kumuunga mkono kwenye 4R..
Huku wakiwaponda na kuwazodoa Sukuma gang.
Ghafla wamemgeuka mama wapo upande wa Sukuma gang na kumshambulia JK, RA na mtandao( their former allies).

Kifupi huu ukigeu, geu na kukosa misimamo, ujuaji, muendelezo wa sera na mambo yao ndio kunawafanya waonekane hawako serious na mara nyingi hutumika kama bargain chip halafu wanabwagwa.

Safarini Hodeidah Yemen
Bargain chip indeed
 
CDM kama operating system haiitaji Tink Tanks na Strategist hizo ni tools za broken systems. Muda wote ni kutest features na twiking hapa mara pale. Kifupi ni spana mkononi.
CDM smooth operate Bila FAM au G55
 
Ulitaka CDM ya lisu iwe CDM maigizo kama ya Mbowe.

Mumnyonge kwanza, Ndo CDM itarudi huko
 
Back
Top Bottom