Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Upo sahihi kamandaMwigulu wizara ya fedha tumepigwa.
Jafo kumtoa TAMISEMI tumepigwa...
Itashitakiwaje wakati mhusika kashatangulia mbele ya haki?Lisu anasemaje kuhusu Tanzania kushtakiwa MIGA?
Tazama ktn ya kenyaNi radio gan mahojiano yatarushwa?
Poa poaTazama ktn ya kenya
Kwaiyo mhusika amendoka na Tanzania?Itashitakiwaje wakati mhusika kashatangulia mbele ya haki?
Anasema imebaki takataka moja tu huko Bungeni, na Bw. corona akitaka kusaidia, Tanzania itakuwa imekombolewa.Lisu anasemaje kuhusu Tanzania kushtakiwa MIGA?
Tazama ktn ya kenya
Ok poa nduguKtn ni saa tano usiku