Tunaombolezaje..???Serikali imeshatoa maombolezo siku 3. Sasa kiherehere cha nini?
Tunaombolezaje..???
Kwani Chadema kuna mtu mmoja tu Tundu Lissu, si yupo Mbowe, Sugu, Lema, Mnyika, Wenje, vipi hawa hauamini.Katika muswada wa kura ya maoni unaendelea hakika bunge limepwaya, hapa ndipo tunapoona umuhimu wa Tundu Lissu. Leo hii mapema asubuhi amesimama na kuomba mwongozo wa spika, katika mwongozo huo huku akionekana mdhaifu Tundu Antipas Lissu amesema tangu jana anaumwa hadi leo bado ana homa kali, akamwomba mh spika aliahirishe bunge kwasababu ya msiba mzito wa kuondokewa na mtoto wa Afrika tata Madiba. Akadai pamoja na homa kali aliyonayo ameamua kujikongoja kuja bungeni kwasababu hiyo. Baada ya spika kukataa ombi lake ameondoka nje ya ukumbi. Ninini kinachomsibu Tundu Lissu kwani pengo lake linaonekana katika muswada huu muhimu! Ugua pole Mh, tunakuhitaji bungeni mapema iwezekanavyo.
Mheshimiwa Tundu Lissu ameomba mwongozo huo kwa spika Makinda ili bunge liahirishwe japo kwa leo kwa ajili ya maombolezo ya Mandela ambaye ni kielelezo kikubwa cha kiongozi aliyetukuka barani Afrika kwa mchango wake katika harakati za ukombozi. Hata hivyo spika hakukubaliana na hoja ya Tundu Lissu na kuruhusu bunge liendelee kama kawaida.
yasije maccm yakampiga kipapai, maana hayakawii kwa umafia!Katika muswada wa kura ya maoni unaendelea hakika bunge limepwaya, hapa ndipo tunapoona umuhimu wa Tundu Lissu. Leo hii mapema asubuhi amesimama na kuomba mwongozo wa spika, katika mwongozo huo huku akionekana mdhaifu Tundu Antipas Lissu amesema tangu jana anaumwa hadi leo bado ana homa kali, akamwomba mh spika aliahirishe bunge kwasababu ya msiba mzito wa kuondokewa na mtoto wa Afrika tata Madiba. Akadai pamoja na homa kali aliyonayo ameamua kujikongoja kuja bungeni kwasababu hiyo. Baada ya spika kukataa ombi lake ameondoka nje ya ukumbi. Ninini kinachomsibu Tundu Lissu kwani pengo lake linaonekana katika muswada huu muhimu! Ugua pole Mh, tunakuhitaji bungeni mapema iwezekanavyo.
we kweli ni boko haramu mkubwa...!Tundu apelekwe Lutindi
Ni Mwanasheria Mkuu wa Chama na mwanafunzi wa Asha Rose Migiro.Kwani Chadema kuna mtu mmoja tu Tundu Lissu, si yupo Mbowe, Sugu, Lema, Mnyika, Wenje, vipi hawa hauamini.