TUNDU LISSU: Kwa uzito wa msiba wa MANDELA barani AFRIKA kwa nini BUNGE lisiahirishwe?

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,480
907
Mheshimiwa Tundu Lissu ameomba mwongozo huo kwa spika Makinda ili bunge liahirishwe japo kwa leo kwa ajili ya maombolezo ya Mandela ambaye ni kielelezo kikubwa cha kiongozi aliyetukuka barani Afrika kwa mchango wake katika harakati za ukombozi. Hata hivyo spika hakukubaliana na hoja ya Tundu Lissu na kuruhusu bunge liendelee kama kawaida.
 
Kwa kweli Mandela ni mtu wa kipekee sana katika bara la Afrika anapaswa kukumbukwa na kuenziwa kwa mchango wake.
 
Katika muswada wa kura ya maoni unaendelea hakika bunge limepwaya, hapa ndipo tunapoona umuhimu wa Tundu Lissu. Leo hii mapema asubuhi amesimama na kuomba mwongozo wa spika, katika mwongozo huo huku akionekana mdhaifu Tundu Antipas Lissu amesema tangu jana anaumwa hadi leo bado ana homa kali, akamwomba mh spika aliahirishe bunge kwasababu ya msiba mzito wa kuondokewa na mtoto wa Afrika tata Madiba. Akadai pamoja na homa kali aliyonayo ameamua kujikongoja kuja bungeni kwasababu hiyo. Baada ya spika kukataa ombi lake ameondoka nje ya ukumbi. Ninini kinachomsibu Tundu Lissu kwani pengo lake linaonekana katika muswada huu muhimu! Ugua pole Mh, tunakuhitaji bungeni mapema iwezekanavyo.
 
Kwani Chadema kuna mtu mmoja tu Tundu Lissu, si yupo Mbowe, Sugu, Lema, Mnyika, Wenje, vipi hawa hauamini.
 
Wangesimama kwa dakika moja kasha kuendelea na shughuli zake kama kawaida. Sidhani kama ni sahihi kuhahirisha bunge.
 
Mheshimiwa Tundu Lissu ameomba mwongozo huo kwa spika Makinda ili bunge liahirishwe japo kwa leo kwa ajili ya maombolezo ya Mandela ambaye ni kielelezo kikubwa cha kiongozi aliyetukuka barani Afrika kwa mchango wake katika harakati za ukombozi. Hata hivyo spika hakukubaliana na hoja ya Tundu Lissu na kuruhusu bunge liendelee kama kawaida.

kachanganyikiwa-hali inayomkuta SLAA mikoani inaashiria kifo cha CDM-vyombo vya habar ambavyo wamekuwa wakifurahia mabadiliko ya siasa yaliyokuwa yakiongozwa na CDM nao sasa wamegundua kuwa ile ni SACCOS na wamepoteza imani na sasa wana wa- blast na sasa anafikiria mikakati yao ya kumngo'a ZZK(kipenzi cha wanyonge-mkataa posho za kukaa) ilivyokwama pamoja na kumbambikizia shutuma kibao kwa uroho wao wa madaraka-na sasa anafikiria yale makosa 11 aliyoyaandika kwa kujinasibu ambayo utadhani yameandikwa WP(Women Police) 123 wa kituo cha Igunguja(vijijini) na sio mwanasheria
 
Katika muswada wa kura ya maoni unaendelea hakika bunge limepwaya, hapa ndipo tunapoona umuhimu wa Tundu Lissu. Leo hii mapema asubuhi amesimama na kuomba mwongozo wa spika, katika mwongozo huo huku akionekana mdhaifu Tundu Antipas Lissu amesema tangu jana anaumwa hadi leo bado ana homa kali, akamwomba mh spika aliahirishe bunge kwasababu ya msiba mzito wa kuondokewa na mtoto wa Afrika tata Madiba. Akadai pamoja na homa kali aliyonayo ameamua kujikongoja kuja bungeni kwasababu hiyo. Baada ya spika kukataa ombi lake ameondoka nje ya ukumbi. Ninini kinachomsibu Tundu Lissu kwani pengo lake linaonekana katika muswada huu muhimu! Ugua pole Mh, tunakuhitaji bungeni mapema iwezekanavyo.
yasije maccm yakampiga kipapai, maana hayakawii kwa umafia!
 
Kweli tupo nyuma sana kifikra tazama CNN kuanzia asubuhi hadi saa hizi ni TATA MADIBA,CITIZEN pia angalia hiyo TBC majanga....BUNGE lenyewe halina impact kwa watanzania yaani hata wakisema kusiwe na wabunge hakutakua na shida yoyote..kazi ni kusubiri posho tu...shenzi shenzi
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom