Tundu Lissu kuzuiliwa Ujerumani

Tundu Lissu kuzuiliwa Ujerumani

Sio kweli!

Kama ni kweli kaandika huyo Ephrahim makanja, basi kaamua kuandika akiwa chumbani kwake bila kutushirikisha sisi vijana wa kitanzania tunaoishi Ujerumani.

Tena mwambieni huyo mpumbavu aliyeandika hiyo barua kuwa, mawazo yake sio mawazo ya vijana wa kitanzania waliopo hapa Ujerumani
Kwani uyo makanjanja ana nguvu gani?je neno lake ni sheria?
 
Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.

Kupitia barua inayoaminika kuandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.

Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa. "Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.

View attachment 1022152

Lissu kuzuiliwa Ujerumani? | East Africa Television

Je, hii ni kwa viongozi wa upinzani pekee au kwa vyama vyote?

Je, ikitokea Bashiru Ally au Polepole akaenda huko, hatopokelewa?
Bashiru Ali na Polepole hao ni viongozi rasmi wanaeleweka.Not every Tom and Jerry.Siyo Mtu kakurupuka toka Kitandani anaanza mikutano ya kebehi na kejeli.Na bado.Ulaya ikishaanza kumchukia atafukuzwa kama Paka.
 
Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.

Kupitia barua inayoaminika kuandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.

Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa. "Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.

View attachment 1022152

Lissu kuzuiliwa Ujerumani? | East Africa Television

Je, hii ni kwa viongozi wa upinzani pekee au kwa vyama vyote?

Je, ikitokea Bashiru Ally au Polepole akaenda huko, hatopokelewa?
Hao ni wale wa Chama Cha Majinga na sio wawakilishi wa watanzania.
 
Huyo anayejiita kongozi ana mawazo ya KI.SH.E.NZI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli!

Kama ni kweli kaandika huyo Ephrahim makanja, basi kaamua kuandika akiwa chumbani kwake bila kutushirikisha sisi vijana wa kitanzania tunaoishi Ujerumani.

Tena mwambieni huyo mpumbavu aliyeandika hiyo barua kuwa, mawazo yake sio mawazo ya vijana wa kitanzania waliopo hapa Ujerumani
Wewe uko sehemu gani Ujerumani ili tukuamini kweli upo Ujerumani isiwe upo hapa Kwa Mtogole tu.
 
Back
Top Bottom