The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,182
- 14,742
Jamaa ni Hawa wavuta kayaa wanaozianzia ukubwani afu wanafuga Rasta kupata wazungu ,kule kazi yake kuimbaimba na kuyakata mangoma ndo ale

Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.
Kupitia barua inayoaminika kuandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.
Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa. "Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.
Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.
View attachment 1022152
Lissu kuzuiliwa Ujerumani? | East Africa Television
Je, hii ni kwa viongozi wa upinzani pekee au kwa vyama vyote?
Je, ikitokea Bashiru Ally au Polepole akaenda huko, hatopokelewa?

Ni watanzania waishio ujerumani, sijajua Urusi atatimba lini, napenda iwe baada ya mwezi wa 2 ili niwepoSio umoja wa Watanzania huko Ujerumani bali umoja wa wanaccm waishio Ujerumani.
Ahahahaaaa Lumumba safari hii mmechezeshwa kiduku mpaka mmechoka,sasa mmeanza kutunga ngonjera tambueni ya kuwa Ujerumani policcm hawapo mnajisumbia bureUmoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.
Kupitia barua inayoaminika kuandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.
Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa. "Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.
Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.
View attachment 1022152
Lissu kuzuiliwa Ujerumani? | East Africa Television
Je, hii ni kwa viongozi wa upinzani pekee au kwa vyama vyote?
Je, ikitokea Bashiru Ally au Polepole akaenda huko, hatopokelewa?
Umenikumbusha mwanasesere Joyce wowowo!!!!CCM bhana yaani wanatumia njia za kijinga sana, badala ya kujibu hoja za lissu wanawadhibiti vijana wetu wa ujerumani, Lissu endelea kuwachezesha kwasakwasa
Ni watanzania waishio ujerumani, sijajua Urusi atatimba lini, napenda iwe baada ya mwezi wa 2 ili niwepo
eHuko Russia hawana tofauti na Tz. Wala usipoteze muda wako kumngoja. Huko na China haji.
Urusi Sio nchi ya mwafrika kuishi au kutembelea. Wale jamaa wanakuua kabisa kwa kosa la kuwa mtu mweusi. Jamaa wa hovyo kweli wale. Afadhali wachina.Huko Russia hawana tofauti na Tz. Wala usipoteze muda wako kumngoja. Huko na China haji.
Yani upumbavu wa Serikali ya ccm ndio umefikia Kiwango hiki?!Balozi zinawatisha watakaohudhuria kuwa watakua wamejipigia x wenyewe kurenew passport otherwise wajipange kuchukua uraia wa huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Nanukuu, "Nimemuagiza Governor wa jimbo alilopo afatilie kama alichokuwa anavuta harmonize ni bang au lah"Kwahiyo hawa wana power katika serikali ya Ujerumani?
Bashite chizi sana na team yake
ahhahahaKwahiyo hawa wana power katika serikali ya Ujerumani?
Bashite chizi sana na team yake
Safi sana mwenyekiti.Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.
Kupitia barua inayoaminika kuandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.
Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa. "Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.
Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.
View attachment 1022152
Lissu kuzuiliwa Ujerumani? | East Africa Television
Je, hii ni kwa viongozi wa upinzani pekee au kwa vyama vyote?
Je, ikitokea Bashiru Ally au Polepole akaenda huko, hatopokelewa?
Too late to catch the train. Keshawamaliza nyie nunga wahead! mnashituka baada ya maagizo ya kizembe kutoka kwa jiwe na hiyo changarawe aka bashite!! Too late. The damage is real!!Ras Njaa!!Bob Marley alikuwa akenamea madhila kwenye jaamii Ras Ugali kafuga deads za kuolea vibibikizee wa kizungu