Tundu Lissu kuzuiliwa Ujerumani

Tundu Lissu kuzuiliwa Ujerumani

kama ni umoja wa wana ccm sawa, ila sio serikali ya ujermani haiwezi kusuport matakwa ya wana ccm.
 
Hao watakuwa ni CCM
Capture2.PNG
 
Ras Makunja ni kweli yupo German.

Nashangaa kwa nini barua hakuandika Peter Mfundo ambaye ndiyo Chairman wa Umoja kwa miaka mingi.

Peter ni mmoja ya Watanzania wanaoheshima sana hapo Berlin.

Ras Makunja ni MWANAMUZIKI Makini sana. Sema tu hapa barafu UNAMUONEA.

Yeye na Siasa ni Mbalimbli....




Huyu mwandishi ni Rastafarian,ana bendi yake inaitwa "The Ngoma African Band".Huyu Ras namfahamu sana,na sidhani anawakilisha hisia za Watanzania wote wanaoishi Ujerumani na Austria.

Watu wanajisahau sana,hizi sio zile nyakati za kina Moses Nnauye na Propaganda nyepesi,hizi ni nyakati za kizazi chenye kudadisi chini ya mwamvuli wa technolojia.

Ras anafanya haya yote sababu ya maslahi ya kuendelea kuishi Ujerumani na kupewa tenda za matamasha ya utamaduni wa Afrika kupitia Ubalozi,ni lazima alifanye hili,and he is not that much smart,ngoja tumtunzie heshima tu.

Ila ndugu yangu Ras hukupaswa kupachikwa kwenye aina hii ya mgongano,ungekaa kimya kama wenye busara wengine walivyokaa kimya kwenye mtifuano huu.
 
Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani, umetoa taarifa ya kwamba hawapo tayari kujishughulisha kwa namna yoyote ya shughuli za vyama vya kisiasa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kuaanda mikutano ya wanasiasa nchini humo.

Kupitia barua inayoaminika kuandikwa na kiongozi wa umoja huo, Ephraim Makanja imeeleza mbali na kuandaa mikutano, Watanzania waishio ujerumani hawaruhusiwi kufanya mapokezi ya viongozi wa kisiasa kwa kuwa wamepata taarifa kwamba wapo wanasiasa wanataka kuwageuza jukwaa la kisiasa.

Bw. Makanja ameeleza kwamba, anawaasa watanzania wanaoishi ujerumani kutotumika kwa namna moja ama nyingine katika kuandaa mikutano ya aina hiyo na kwamba umoja huo hautakubali kutumika kama jukwaa. "Hatutaki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa kwani sisi sio kambi ya siasa," Imeeleza sehemu ya barua hiyo.

Tamko hili la Umoja wa Watanzania waishio Ujerumani limekuja kiwa ni siku chache kupita tangu Mbunge wa Singida Mashariki , Tundu Lissu alipopata nafasi ya kuzungumza Washington DC na watanzania waishio nchini Marekani.

View attachment 1022152
Lissu kuzuiliwa Ujerumani? | East Africa Television

Fake news, fake communique, sikilizia German diaspora wenyewe watakavyorudi hapa kuunana uzi huu!
 
Sio kweli!

Kama ni kweli kaandika huyo Ephrahim makanja, basi kaamua kuandika akiwa chumbani kwake bila kutushirikisha sisi vijana wa kitanzania tunaoishi Ujerumani.

Tena mwambieni huyo mpumbavu aliyeandika hiyo barua kuwa, mawazo yake sio mawazo ya vijana wa kitanzania waliopo hapa Ujerumani
Makanja jibu tunasubiri , wee makanja mbona uko kimya
 
Sio kweli!

Kama ni kweli kaandika huyo Ephrahim makanja, basi kaamua kuandika akiwa chumbani kwake bila kutushirikisha sisi vijana wa kitanzania tunaoishi Ujerumani.

Tena mwambieni huyo mpumbavu aliyeandika hiyo barua kuwa, mawazo yake sio mawazo ya vijana wa kitanzania waliopo hapa Ujerumani
hahahah kumbe lijamaa limekura maharage limeamua kufunguka
 
Kwani kuna anyelazimishwa kwenda kumsikiliza? Kwanini wazuie wenye hiari ya kwenda kumsikiliza? Ujerumani hawana uhuru kiasi hicho kweli? Hii ni habari ya kupikwa kwa sababu wanazojua wenyewe
 
Back
Top Bottom