Michael Rweikiza
Member
- Oct 6, 2017
- 53
- 24
Jamani Tundu,,,kutokakana na utundu wake kisiasa walitaka kumtoboa matundu kwa risasi
Yeah! Risasi ni riassi tu. Kama a single slug is capable of dropping someone dead, how about tens of them?Lakini bado ni risasi
Labda jabali nyumbani kwako.!Lissu ni jabari kwenye siasa weka mbali kabisa na yule mvaa hirizi, niliangalia jana alivyokuwa anaipinduapindua lugha ya malkia nikajiuliza vipi angekuwa kipara ingekuwaje?
Mtu anayeisaliti nchi yake daima huwa haheshimiki ugenini anatumiwa tu. Akibisha wanamwambia tutakurudisha kwenu! Sasa umekuja kwetu ukae kimya si hatutaki ushambulie nchi yako ukiwa kwetu. Usituharibie mambo yetu.Ndipo unagundua ooh kumbe yako hivyo! Wazungu wanaita disillusionment. Yaani unakanganyikiwa na kutokuwa tayari kuyasimamia tena yale ambayo kwa miaka mingi ulidhani ni sahihi. Amsome Eldridge Cleaver na jinsi alivyoamua kuachana na upinzani wake kwa Serikali ya Marekani akaelekea dini na imani na kurudi nyumbani. Huyu wa kwetu akienda uhamishoni akae kimya. Asingeituhumu nchi yake ugenini. Asingewashutumu viongozi wa nchi yake. Tanzania haijaharibika kiasi ambacho mhusika anataka tuelewe hivyo na ulimwengu uelewe hivyo. Ziko nchi dhalimu na Tawala dhalimu hapa duniani ukilinganisha utaona Tanzania ni mbinguni.Lissu ni jabari kwenye siasa weka mbali kabisa na yule mvaa hirizi, niliangalia jana alivyokuwa anaipinduapindua lugha ya malkia nikajiuliza vipi angekuwa kipara ingekuwaje?
Hujanywa tu sumu?Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Safi mkuuWe jinga bado hujanywa sumu?
Risasi 38 zimepigwa kwenye gari, risasi 16 zimempata mwilini, mnapata division zero mnasingizia mfumo kristo pumbavu kabisa wakati hata akili kichwani hamna.
Hii kikwetu tunaita "kuyabhula" yaani mtu ana confess bila kujielewa. Maana haeleweki huyo jamaa anabisha nini...!! Walitaka afe lkn Mungu kawaumbua.We jinga bado hujanywa sumu?
Risasi 38 zimepigwa kwenye gari, risasi 16 zimempata mwilini, mnapata division zero mnasingizia mfumo kristo pumbavu kabisa wakati hata akili kichwani hamna.
Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Bwana Tundu Lissu kaondoka Hospital ya Nairobi kuelekea Ubelgiji kwa matibu zaidi baada ya kunusurika kifo kutokana na shambulio la risasi 38 mjini Dodoma mwishoni mwa mwaka uliopita.
Pamoja na mijadala mingi mitandaoni kuwa ni nani kwa hakika alihusika na shambulio lile lakini mhanga mkuu Tundu Lissu hakumung'unya maneno kila alipopata nafasi ya kuongea.
Ameituhumu serikali na mamlaka ya juu kwa kile kinachoitwa 'assassination attempt' jaribio la kutaka kuua....!!!
Kwa serikali zinazojali utawala wa sheria hizi ni tuhuma nzito za aibu na zenye kuitia DOA kubwa serikali kitaifa na kimataifa. Hapa kwetu tunaenda kibongobongo.Fix nyingi siasa nyingi, vitisho na ukatili usio na sababu.
Tangu litokee shambulio lile la Lissu, ambalo aliepuka kifo kwa muujiza tu. Mabadiliko mengi yametokea. Yametokea kwa haraka na kwa muda mfupi ni wazi washambuliaji wake hawakutegemea apone. Kupona kwake ni kihoro na jinamizi kubwa kwao.
Wanamfahamu vema Lissu ni mtukutu, mjanja kwenye siasa na makini kwenye sheria, ana kipawa cha kujenga hoja zikakubalika. Sio mwoga! Haogopi ni msomi mzuri wa sheria na ni mpambanaji asiyeshindwa.
Watesi wake wanatambua vema kuwa risasi zile licha ya kukosa kumnyofoa roho lakini zimeshindwa kabisa kuleta madhara kichwani kwenye injini ya fikra pevu na maarifa.
Wanatambua vema kuwa kwa kipindi chote alichokuwa hospital, licha ya majeraha makubwa aliyopata lakini mwili na akili vimepata mapumziko ya kutosha.
Atarejea kwa nguvu mpya kasi mpya na ari mpya...!!! Na hapa ndio penye kutatiza sana! Sasa hivi jumuiya za kimataifa zinajua fika nini kimempata na nini kimetokea... CV imechafuliwa vibaya kabisa.!!
Mkakati uliopo ni kuanza kutunga sheria za makosa mitandaoni na vyombo vya habari haraka na kuanza kuvichukulia hatua hata kama makosa yenyewe ni mepesi na hayana mashiko.
Kila anachoongea sasa kinarekodiwa na kuhifadhiwa...! Hivi karibuni serikali imesema SI VEMA KUBISHANA NA MGONJWA. ' Anasubiriwa apone...!
Anasubiriwa arudi. Kuna upande hauko tayari kumuona tena anatamalaki jukwaa ni na kwenye vyombo vya habari na mitandaoni..!!
Mashtaka ya uhaini na kukashifu mamlaka yanamsubiri lakini TUTAUKOMBOA WAKATI...!!!!
Ziwe mbili, tatu au 100 idadi haijalishi cha msingi alipigwa risasi na mtuhumiwa mkuu ni systemKila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Kazi ya intarahamwe na Banyamulenge ni kuishi Porini na kuua watu tuHata kama ni risasi Moja tu..
Kuna sababu gani ya kuutoa uhai wa Mwanadamu namna ile..
Muuwaji mkubwa JPM.
Sio system ni mukulu! Huwezi kuwa msaliti uka survive…!Ziwe mbili, tatu au 100 idadi haijalishi cha msingi alipigwa risasi na mtuhumiwa mkuu ni system
Mkuu umenena vema. Mimi naamini Lissu na CHADEMA wanawajua wahusika wote isipokuwa hawawezi kusema kwa sasa na Lissu katika kuongea kwake ameonesha wazi mhusika mkuu ni system. Kama ulivyosema yule ni mwanasheria kuna mambo hawezi kusema moja kwa moja sasa hivyo anachokoza ili wao kwa kihere here chao wampeleke mahakamani ili huko ushahidi wote ukatolewe. Maana yake serikali itamtaka athibitishe madai yake naye atafanya hivyo kisheria. Wahusika wa jaribio lile wanajulikana kwani katika siri yoyote huwa hakuna siri ya watu wawili hivyo siyo wote katika system wanamchukia Lissu na chadema. Kwa maana hiyo taarifa kamili watakuwa wameshawapa cdm. Kwani nani alijua diwani wa ccm atawapigia kura ukawa kwenye uchaguzi wa meya? Wapo watu ndani ya nyumba hawapendezwi kabisa na jinsi baba yao anavyoendesha mambo kibabe na kwa chuki kubwa. Wakimkamata na kumpeleka mahakamani huko ndiko watakokavuliwa nguo wabaki uchi. Kwa mateso aliyoyapata Lissu atakuwa hana woga wala cha kupoteza kuwataja wahusika kwani hategemewi kunyamaza kwa kupewa cheo kama kama yule jamaa mnafiki aliyekuwa anabomoka ngozi na nyweli alikuja na kiwewe cha kuweka wazi alipotoka kwa akina Amita bachani lakini alipoahidiwa vyeo na kuanza kupewa akanywea mpaka wale waliokuwa wanamsaidia kuandika na kufichua masaibu yake amegeuka na kuanza kuwafungia na amekuwa mtetezi mkubwa wa wasigina katiba.Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Bwana Tundu Lissu kaondoka Hospital ya Nairobi kuelekea Ubelgiji kwa matibu zaidi baada ya kunusurika kifo kutokana na shambulio la risasi 38 mjini Dodoma mwishoni mwa mwaka uliopita.
Pamoja na mijadala mingi mitandaoni kuwa ni nani kwa hakika alihusika na shambulio lile lakini mhanga mkuu Tundu Lissu hakumung'unya maneno kila alipopata nafasi ya kuongea.
Ameituhumu serikali na mamlaka ya juu kwa kile kinachoitwa 'assassination attempt' jaribio la kutaka kuua....!!!
Kwa serikali zinazojali utawala wa sheria hizi ni tuhuma nzito za aibu na zenye kuitia DOA kubwa serikali kitaifa na kimataifa. Hapa kwetu tunaenda kibongobongo.Fix nyingi siasa nyingi, vitisho na ukatili usio na sababu.
Tangu litokee shambulio lile la Lissu, ambalo aliepuka kifo kwa muujiza tu. Mabadiliko mengi yametokea. Yametokea kwa haraka na kwa muda mfupi ni wazi washambuliaji wake hawakutegemea apone. Kupona kwake ni kihoro na jinamizi kubwa kwao.
Wanamfahamu vema Lissu ni mtukutu, mjanja kwenye siasa na makini kwenye sheria, ana kipawa cha kujenga hoja zikakubalika. Sio mwoga! Haogopi ni msomi mzuri wa sheria na ni mpambanaji asiyeshindwa.
Watesi wake wanatambua vema kuwa risasi zile licha ya kukosa kumnyofoa roho lakini zimeshindwa kabisa kuleta madhara kichwani kwenye injini ya fikra pevu na maarifa.
Wanatambua vema kuwa kwa kipindi chote alichokuwa hospital, licha ya majeraha makubwa aliyopata lakini mwili na akili vimepata mapumziko ya kutosha.
Atarejea kwa nguvu mpya kasi mpya na ari mpya...!!! Na hapa ndio penye kutatiza sana! Sasa hivi jumuiya za kimataifa zinajua fika nini kimempata na nini kimetokea... CV imechafuliwa vibaya kabisa.!!
Mkakati uliopo ni kuanza kutunga sheria za makosa mitandaoni na vyombo vya habari haraka na kuanza kuvichukulia hatua hata kama makosa yenyewe ni mepesi na hayana mashiko.
Kila anachoongea sasa kinarekodiwa na kuhifadhiwa...! Hivi karibuni serikali imesema SI VEMA KUBISHANA NA MGONJWA. ' Anasubiriwa apone...!
Anasubiriwa arudi. Kuna upande hauko tayari kumuona tena anatamalaki jukwaa ni na kwenye vyombo vya habari na mitandaoni..!!
Mashtaka ya uhaini na kukashifu mamlaka yanamsubiri lakini TUTAUKOMBOA WAKATI...!!!!
Si mlisema risasi 8?hizi 16 zimetoka wapi?afu anakuambia risasi moja imebaki kwenye spinal Cord hahahahahah hivi mnaujua uti wa mgongo na kazi zake au mnapenda kulishwa pumba tu?MKUU WEWE KICHWA NGUMU AU? RISASI ZAIDI YA 30 ALIRUSHIWA NAHATA SPIKA ALISEMA (MAANA NDIYE UNAMWAMINI), HALAFU HIZO 16 NDIZO ZILIMFIKA MWILINI NA KUINGIA