Maneno mengiiiii Hanna kitu, utawala umetumia hekima na busara ya kumsubili mgonjwa wetu alone kwanza! Hapo ndipo atatimilika kiakili na si kama mtoa mada, kwa hisia tu anamhukumu mtuMwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Bwana Tundu Lissu kaondoka Hospital ya Nairobi kuelekea Ubelgiji kwa matibu zaidi baada ya kunusurika kifo kutokana na shambulio la risasi 38 mjini Dodoma mwishoni mwa mwaka uliopita.
Pamoja na mijadala mingi mitandaoni kuwa ni nani kwa hakika alihusika na shambulio lile lakini mhanga mkuu Tundu Lissu hakumung'unya maneno kila alipopata nafasi ya kuongea.
Ameituhumu serikali na mamlaka ya juu kwa kile kinachoitwa 'assassination attempt' jaribio la kutaka kuua....!!!
Kwa serikali zinazojali utawala wa sheria hizi ni tuhuma nzito za aibu na zenye kuitia DOA kubwa serikali kitaifa na kimataifa. Hapa kwetu tunaenda kibongobongo.Fix nyingi siasa nyingi, vitisho na ukatili usio na sababu.
Tangu litokee shambulio lile la Lissu, ambalo aliepuka kifo kwa muujiza tu. Mabadiliko mengi yametokea. Yametokea kwa haraka na kwa muda mfupi ni wazi washambuliaji wake hawakutegemea apone. Kupona kwake ni kihoro na jinamizi kubwa kwao.
Wanamfahamu vema Lissu ni mtukutu, mjanja kwenye siasa na makini kwenye sheria, ana kipawa cha kujenga hoja zikakubalika. Sio mwoga! Haogopi ni msomi mzuri wa sheria na ni mpambanaji asiyeshindwa.
Watesi wake wanatambua vema kuwa risasi zile licha ya kukosa kumnyofoa roho lakini zimeshindwa kabisa kuleta madhara kichwani kwenye injini ya fikra pevu na maarifa.
Wanatambua vema kuwa kwa kipindi chote alichokuwa hospital, licha ya majeraha makubwa aliyopata lakini mwili na akili vimepata mapumziko ya kutosha.
Atarejea kwa nguvu mpya kasi mpya na ari mpya...!!! Na hapa ndio penye kutatiza sana! Sasa hivi jumuiya za kimataifa zinajua fika nini kimempata na nini kimetokea... CV imechafuliwa vibaya kabisa.!!
Mkakati uliopo ni kuanza kutunga sheria za makosa mitandaoni na vyombo vya habari haraka na kuanza kuvichukulia hatua hata kama makosa yenyewe ni mepesi na hayana mashiko.
Kila anachoongea sasa kinarekodiwa na kuhifadhiwa...! Hivi karibuni serikali imesema SI VEMA KUBISHANA NA MGONJWA. ' Anasubiriwa apone...!
Anasubiriwa arudi. Kuna upande hauko tayari kumuona tena anatamalaki jukwaa ni na kwenye vyombo vya habari na mitandaoni..!!
Mashtaka ya uhaini na kukashifu mamlaka yanamsubiri lakini TUTAUKOMBOA WAKATI...!!!!
Tatizo sio kusikia ni kuelewa
Hata kama ni risasi Moja tu..
Kuna sababu gani ya kuutoa uhai wa Mwanadamu namna ile..
Muuwaji mkubwa JPM.
Jibu ni kuchagua tu huna haja ya kubabaika kila jibu ni sahihi pasina shaka kutegemea na unalenga niniKila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Na ambazo hazikumpata? Au gari na eneo la ajali walilipeleka hospitalini kutibiwa?Waongo utawajua doctor anasema 16. Na mgonjwa ila washabiki wanasema 30 Wengine 38 jamani waandishi niwengi!!
Haya tumekusikia
Umenena Mkuu.Huyu jamaa ni nuksi kubwa sana nchini. Yaani hana tofauti na yule nduli aliyeondolewa madarakani na Baba wa Taifa.
zimemiminwa 38 zimempata 16 mbona hujielewi?Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Wewe ungepona?Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Huna akili wewe, halafu wauaji wenzako wana like. Mafi ya umbwa, Mh Rais wa TLS anasema zilizoondolewe mwilini mwake ni 16, na moja inabaki. Alizotupiwa na mahalamia waliotumwa kama anavyosema na serikali ni 38, ila mimi nadhan walitumia magazine yote, na wakaweka nyingine kama sio kubadilisha bunduki kabisa. Mungu amewaona, hawana pa kujificha.Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Kamsaliti nani? Ulisoma hadi wapi hata kushindwa kuelewa mambo madogo kama haya? Pana tofauti kati ya risasi zilofyatuliwa na zilizoingia mwilini! Ni kwa watu wenye akili kama zako badala ya kuelewa concept kwa ujumla wake kwa maana ya content nyie mnaangalia makosa hata ya kisarufi. Frastrations mbaya sanaKila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Sio kuipindua kaka, alikuwa anainajisi!!Lissu ni jabari kwenye siasa weka mbali kabisa na yule mvaa hirizi, niliangalia jana alivyokuwa anaipinduapindua lugha ya malkia nikajiuliza vipi angekuwa kipara ingekuwaje?
Usipoquote Uzi mrefu hivi hauna raha kabisa..Haya tumekusikia
[emoji63]Usipoquote Uzi mrefu hivi hauna raha kabisa..
Plz usifanye hivi tenaa. Kuna watu wanatumia simu, so inawapa tabu Ku scroll.[emoji63]
Kwani wakati anapigwa alikuwa anahesabu??Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Hata kama ingekuwa moja bado ni risasi,unataka kujua idadi kamili ili iwejeKila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!