Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

Tundu Lissu kuwekwa kizuizini?

Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Hunaga akili wewe bora ukae kimya! Kila siku unatoaga hoja kama nimekuingizia kwenye expansion joint ya nyuma!
 
Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Alafu wewe hueleweki,,sijui ukoje huko kumukichwa,,risasi zilizokusudiwa ni 38,,zilizompata kumi na6,,
 
Mwanasheria wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Bwana Tundu Lissu kaondoka Hospital ya Nairobi kuelekea Ubelgiji kwa matibu zaidi baada ya kunusurika kifo kutokana na shambulio la risasi 38 mjini Dodoma mwishoni mwa mwaka uliopita.

Pamoja na mijadala mingi mitandaoni kuwa ni nani kwa hakika alihusika na shambulio lile lakini mhanga mkuu Tundu Lissu hakumung'unya maneno kila alipopata nafasi ya kuongea.

Ameituhumu serikali na mamlaka ya juu kwa kile kinachoitwa 'assassination attempt' jaribio la kutaka kuua....!!!

Kwa serikali zinazojali utawala wa sheria hizi ni tuhuma nzito za aibu na zenye kuitia DOA kubwa serikali kitaifa na kimataifa. Hapa kwetu tunaenda kibongobongo.Fix nyingi siasa nyingi, vitisho na ukatili usio na sababu.

Tangu litokee shambulio lile la Lissu, ambalo aliepuka kifo kwa muujiza tu. Mabadiliko mengi yametokea. Yametokea kwa haraka na kwa muda mfupi ni wazi washambuliaji wake hawakutegemea apone. Kupona kwake ni kihoro na jinamizi kubwa kwao.

Wanamfahamu vema Lissu ni mtukutu, mjanja kwenye siasa na makini kwenye sheria, ana kipawa cha kujenga hoja zikakubalika. Sio mwoga! Haogopi ni msomi mzuri wa sheria na ni mpambanaji asiyeshindwa.

Watesi wake wanatambua vema kuwa risasi zile licha ya kukosa kumnyofoa roho lakini zimeshindwa kabisa kuleta madhara kichwani kwenye injini ya fikra pevu na maarifa.

Wanatambua vema kuwa kwa kipindi chote alichokuwa hospital, licha ya majeraha makubwa aliyopata lakini mwili na akili vimepata mapumziko ya kutosha.

Atarejea kwa nguvu mpya kasi mpya na ari mpya...!!! Na hapa ndio penye kutatiza sana! Sasa hivi jumuiya za kimataifa zinajua fika nini kimempata na nini kimetokea... CV imechafuliwa vibaya kabisa.!!

Mkakati uliopo ni kuanza kutunga sheria za makosa mitandaoni na vyombo vya habari haraka na kuanza kuvichukulia hatua hata kama makosa yenyewe ni mepesi na hayana mashiko.

Kila anachoongea sasa kinarekodiwa na kuhifadhiwa...! Hivi karibuni serikali imesema SI VEMA KUBISHANA NA MGONJWA. ' Anasubiriwa apone...!

Anasubiriwa arudi. Kuna upande hauko tayari kumuona tena anatamalaki jukwaa ni na kwenye vyombo vya habari na mitandaoni..!!

Mashtaka ya uhaini na kukashifu mamlaka yanamsubiri lakini TUTAUKOMBOA WAKATI...!!!!
Hakuna lolote
 
Huu usanii utapungua kwa kiasi fulani!next week mtakuja na kiki gani?unafikiri hao unaosema watachukulia matamshi ya mgonjwa kama nyumbu mnavyotaka iwe au kulazimisha?subutu....hiyo ni gea ya kuomba hifadhi ya kisiasa.....&mwenyekiti wa maisha ameshaondoa tishio kwenye nafasi yake![emoji13] [emoji13]
 
Mkuu mimi ningependa sana kumuona Lissu anarudi nchini na hakuna yeyote yule mwenye haki ya kumzuia kurudi ila anastahili kupewa ulinzi wa hali juu 24/7 365 days ili kuja kupambana na huyo dhalimu mtenda maovu.

Namshauri asurudi, au inawezekana wakamkatalia kurudi! and this is most likely.
Namshauri aombe ulinzi wa Trump! UK etc. Let him talk to trump (if possible) mshana jr
 
Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Hivi alimsaliti nani, hivi mlitaka kumuua Kwanzaa sababu ya usaliti eeh!
You must be cowards of the generation msaliti mnamvizia kwa silaha za kivita if youngster bold enough mgemkamata mkamtia adabu know sheria, kwa kuwa kawaumbua mkaamua mumuuwe, shame on you,mungu wake bado anampenda hajafa ngooo.
Haya mfuateni huko ubelgiji mkamuuwe, nasikia mnawatafutia studio ya kurekodi nyimbo Wale wabakaji
 
Kipaumbele cha serikali ya CCM hivi sasa ni kuwasaidia kwa hali na mali WABAKAJI Nguza Viking Babu Seya na wanawe.
 
Kwa vile Mungu ni shemeji yao au mume mwenzao wstafanikiwa, lkn kama Mungu ninayemjua mimi ni yule wa mbinguni aijuaye na kuiona dunia aliyoiumba they will never win just as they failed to kill him
 
Kama risasi 38 zimeshindwa kumuua nakuhakikishia hata mawe yatapaza sauti akiwekwa kizuizini
 
Back
Top Bottom