Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,521
- 6,517
Mungu tuondolee li ccm na watu wake, wavuruge kama pale Babeli
Nadhani walikuwa clear kwenye hili na haihitaji diploma kuelewa. Zilipigwa risasi atleast 38 na 16 ziliupata mwili wake.Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16..
Achana na idadi, Deal na ContentKila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Limewashuka,mlilolitaka halikuwa, lakini mjue kila auaye kwa upanga naye atauwawa kwa upanga, zamu yenu inakuja.Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Huyo Kwan Sasa Ni delusional Na paranoidLissu The Great .
Huyo ndugu yenu anahitaji pia tiba ya akili.Lakini bado ni risasi
Mungu tuondolee li ccm na watu wake, wavuruge kama pale Babeli
Jibu analo baba mzazi wa mtoto wa kiume!km mkiamua kuwa wakweli kwani mlimpiga risai ngapi mkuu....mbona mnazunguka sn mbwa nyie
Limezoea kufunga hirizi na kukaa msituni kufuga ng'ombe na bunduki beganiOnesha utofauti kati ya mbuzi na mwanadamu.
Nyie mpeni kichwa tuLissu ni jabari kwenye siasa weka mbali kabisa na yule mvaa hirizi, niliangalia jana alivyokuwa anaipinduapindua lugha ya malkia nikajiuliza vipi angekuwa kipara ingekuwaje?
Waongo utawajua doctor anasema 16. Na mgonjwa ila washabiki wanasema 30 Wengine 38 jamani waandishi niwengi!!Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Ukifuata rangi ya kijani kumbe hata akili huwa zinavurugikaKila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Ujinga unaweza ondolewa kwa urahisi lkn upunbavu hudumu kichwani mwa mpumbavu na kuwa mzigo kwa wengine.Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Wewe ulitaka ziwe ngapi ili lionekane ni tendo la kishetani? Na zikiwa ngapi, ni halali mtu kuoigwa?Kila mtu na vesion yake mara risasi 38, mara 30 mwenyewe Msaliti anasema 16, basi tu ili mradi muongope!
Ahsante sana Mshana Jr:Lakini bado ni risasi