Tundu Lissu kuomba kuchangiwa ada za watoto, hawasomi Bure?

Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?

Nelson,
Dodoma
Mnakuja na kila njia ya kumchafua aonekane hafai but wapi
Kaa ukijua kupona kwa lisu ni mpango wa MUNGU
Na ata akiomba wewe kinachokuuma ni nini? Kwani umelazimishwa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu juzi tuu katoka kupokea 250 bado anataka tena!!! ...tamaa zilimuua mzee fisi.mbona shule za bure zipo nyingi
Shule za bure ndo hizi zimewafanya wajingawajinga namna hii......wacheni wenzenu wapeleke watoto wao kwenye shule inayofundisha elimu bora na siyo hii bora elimu ya mama Ndalichako
 
Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?

Nelson,
Dodoma
Endelea na huo umbumbu wako, wakati wanao kwambia shule bure watoto wao wanasona Feza na wengine wapo Uganda na Kenya!
 
Namia Mbunge wangu anaomba fedha kwa watu wasio na ajira. Wengi walioko marekani wanasoma na kutafuta maisha. Kiasi wanachopata wanakula na familia zao. Sasa Lisu anawaongezea mzigo. Hapo ndipo ninapoumia mimi.
Wewe na wanafiki wenzio mkiongozwa na jiwe mkafie mbele huko,...tuacheni sisi Lissu ataishi maisha mazuri atakavyo, ni suala la yeye kuamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?

Nelson,
Dodoma
Yaani nyie watu,
Mungu awarehemu,kwani mkinyanaza mtaumwa?
Hakuna topic zingine? What a shame?
Mwacheni achangiwe,baada ya hapi!!!
Mnahangaika na Lissu kwa vithreads laini namna hii....!!!! Kupambana na Lissu yahitaji mtaji wa ubongo na si kukurupuka tu unaanza kuandika. Mnapotea halafu yeye abazidi kuimarika na nyie ndo mnaochangia sana kuimarika kwake kisiasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda huko! Sisi tunaoelewa maana yake tunaona kachelewa kutupatia hitaji lake hilo.
Mimi sio tajiri lakini utaratibu ukishawekwa Niko Tayari Kwa laki kila mwaka , huu na ujao maana baada ya hapo hatahitaji tena na watesi wake watakuwa behind bars

Sent using Jamii Forums mobile app
Kamanda unahitaji utaratibu gani? Mplekee malipo landlord wake huko Belgium maana msimu was baridi unaanza na mwanasheria wenu nguli atalala nje. Ohooo shauri yenu
 
Yaani nyie watu,
Mungu awarehemu,kwani mkinyanaza mtaumwa?
Hakuna topic zingine? What a shame?
Mwacheni achangiwe,baada ya hapi!!!
Mnahangaika na Lissu kwa vithreads laini namna hii....!!!! Kupambana na Lissu yahitaji mtaji wa ubongo na si kukurupuka tu unaanza kuandika. Mnapotea halafu yeye abazidi kuimarika na nyie ndo mnaochangia sana kuimarika kwake kisiasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lissu kaimarika vipi kisiasa? Au anagombea Urais wa Ulaya?
 
Mafisiem mnatapatapa ..watu wanachangia harusi..uroda anaenda kula mwingine..
Lissu tutamchangia hata kwakuuza plot zetu
 
Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?
Nelson,
Dodoma
Wewe acha tu, jamaa kwa fedha ni hatari, yuko tayari hata kuisaliti nchi, iwe ughaibuni kwa kutuponda tusipate misaada au kuwatetea wezi na wakwepa kodi (Accacia!)...
 
Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?

Nelson,
Dodoma
Mnaowatetea watoto wao wanasoma Kayumba hata wakifeli vipi wanapata digirii, wako akifaulu vipi anatupwa mtaani.
 
Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?

Nelson,
Dodoma
Wahenga walisema "jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza".
Tundu Lissu ni mgonjwa kuomba msaada ni jambo la kawaida kabisa. Halafu usimcheke mwenzio hata wewe uko kwenye nafasi nzuri ya kupata huduma na mahitaji yote bure kwani hujui kesho yako bali ajua Mola pekee.
Mwacheni aombe kwa kuwa anaomba kwa jina lake wala sio kwa nafasi ya ubunge wa Jimbo hivyo akipata au kukosa yote kheri.
Mungu ibariki Tanzania Na utuepushe Na majanga kwani ukimbizi ni fedheha.
 
Wote tunaomudu nando la kuwemo humu JF kwa lisaa kila siku watoto wetu hasomi shule za msingi za serikali; labda secondary kwa upande wa High school
 
Namia Mbunge wangu anaomba fedha kwa watu wasio na ajira. Wengi walioko marekani wanasoma na kutafuta maisha. Kiasi wanachopata wanakula na familia zao. Sasa Lisu anawaongezea mzigo. Hapo ndipo ninapoumia mimi.
Ndio wamekuwa wanamchangia,sasa kama unaumuia endelea kuumia!
 
Ada ya Shule kwa mwaka ni Sh.ngapi? maana anatembeza bakuli wakati 250 kazitia kibindoni
 
Back
Top Bottom