Tundu Lissu kuomba kuchangiwa ada za watoto, hawasomi Bure?

Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?

Nelson,
Dodoma

Lissu is a political entrepreneur yuko kwenye siasa kwa ajili ya kuchuma tu na kupotosha watu kwa manufaa yake. Never take him serious.
 
Wanae wanasoma international school wako wanasoma shule za kayumba changia sababu wanao hutaki wasome international school.Lisu aliapa wanae hawawezi soma Kayumba.Changia wewe usiyependa wanao wasome international school unayependa wanao wasome kayumba shule choka mbaya ili wa Tundu Lisu wasome Elite schools shule za international schools
 
Lisu aliapa wanae watasoma international school tu hawaji soma Kayumba za serikali .Mchangieni nyie ambao muko tayari kuchangia wakati wanenu wanasema shule choka mbaya
 
Wanae wanasema international school wako wanasoma shule za kayumba changia sababu wanao hutaki wasome international school.Lisu aliapa wanae hawawezi soma Kayumba.Changia wewe usiyependa wanao wasome international school unayependa wanao wasome kayumba shule choka mbaya ili wa Tundu Lisu wasome Elite schools
Pole mkuu.
 
Namia Mbunge wangu anaomba fedha kwa watu wasio na ajira. Wengi walioko marekani wanasoma na kutafuta maisha. Kiasi wanachopata wanakula na familia zao. Sasa Lisu anawaongezea mzigo. Hapo ndipo ninapoumia mimi.
Hujui lolote ni heri ungekaa kimya.unafikiri watanzania wote wanaakili za kiccm? Kuna watanzania wanaongoza makampuni huko
 
WAMEVUJISHA HIYO CLIP, ALIYETUMA KAANDIKA MANENO MASHAFU SANA MSITAKE TUYAWEKE HAPA. WANASEMA AMEKUWA OMBAOMBA UNADHANI HAYO MANENO MAZURI KWELI?
Hata US kuna watanzania wafia chama kama wewe mkuu.ambao kwao ccm ni kila kitu
 
Namia Mbunge wangu anaomba fedha kwa watu wasio na ajira. Wengi walioko marekani wanasoma na kutafuta maisha. Kiasi wanachopata wanakula na familia zao. Sasa Lisu anawaongezea mzigo. Hapo ndipo ninapoumia mimi.
Kuna kautafiti umefanya? Au ni hisia tu hizo?
 
Nimeona kuna video inaranda randa mitandaoni ikimtuhumu Tundu Lissu kuomba kuchangiwa fedha. Nimekuwa na maswali yasiyo na majinu. Tundu Lissu watoto wanatakiwa kusoma Bure katika shule za serikali. Anakaa katika nyumba ya serikali na anahudumiwa na Bunge kama mtumishi wa Umma. Aidha, amelipwa hivi karibuni takribani milioni 250 na ushee hivi kwa mujibu wa spika. Hii kitu ya kuchangisha haiturudishi nyumba kweli tukaonekana ngozi nyeusi shida Ulaya na Marekani?

Nelson,
Dodoma
Kama hakuwa anawekeza shauri yake na ufipa iliyomlea.
 
Wewe tu ndio umriona hiyo video ya yy akiomba sidi hatujaiona embu tuwekee na sisi tuone
 
Lisu aliapa wanae watasoma international school tu hawaji soma Kayumba za serikali .Mchangieni nyie ambao muko tayari kuchangia wakati wanenu wanasema shule choka mbaya
Kwaiyo shule za kayumba ni choka mbaya CCM zaidi ya miaka 50 imeshindwa kuboroshe elimu imezalisha vilanza wengi ambao ndio mtaji wao kwenye siasa tuna safari ndefu!
 
mbona waloahidi kumchangia hawaumii kuliko ww usiemchangia??uzeen ww utawanga nakuambia
Tiari apo alipo ni mchawi mchawi sio lazima awe na tunguri uchawi ni pamoja na kichukia mafanikio ya watu! Au kuchukia watoto wasio wako kupata elimu bora!
 
Back
Top Bottom