Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Ukinihakikishia Harmorapa ulinzi ni ishara ya mashaka ntakubaliana nawe....

Nakuhakikishia ameweka ulinzi mkali kwasababu ana mashaka ataporwa hela zake. Babu yako kule kijijini anamiliki mbuzi wanne, kuku sita na wake watatu, umeona kaweka walinzi? Hajaweka walinzi maana hana mashaka na anavyomiliki.
 
kutoka kuwa rais wa TLS,MBUNGE,MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI,hadi kuwa advocacy officer???duuuuuh noma kweli,na ndo hili alilokuwa anasubiri huko kwa mabeberu sio cha daktari wala nini,alikuwa anasubiri aone hukumu ya kesi inasemaje AJIONGEZE,sasa hv utamskikia "nimeambiwa nikirudi sitakuwa salama",na ataomba hifadhi ya kisiasa,huyu ni BEBERU kama MABEBERU wengine tu

OVA
 
Wakimwelewa undani wake lazima watamfukuza ndani ya mda mfupi. Kwani tabia ya kuzaliwa nayo haina dawa.
Ndugu zangu,

Kama hatabadilisha maamuzi basi Tundu Lissu ataanza kazi katika taasisi moja nchini Ubelgiji kama "advocacy officer".

Japo dili hili linamchanganya kuanza au kutoanza kufanya Ila amepewa hadi tarehe 20.09.2019 ili kuthibitisha kama atafanya au la,japo hata asipothibitisha wadau wamekubali kugharamia maisha yake ughaibuni.

Muda utaamua.


Wakudadavuwa
Brussels
 
Shida nini kama mshahara wa ubunge ni USD 6000 kwa mwezi huku kua officer unaramba USD 9500 baada ya kodi..........shida ya akili za ki-CCM na KICHADEMA zimekaa kinjaa njaa tu kuhisi ubunge ndio kazi inayolipa duniani.
Au unadhani naye ni mpuuzi kama wewe alienda kusoma ili awe maarufu na si kukidhi basics needs zake
Gharama za maisha ziko juu huko kuliko Tanzania habaki na kitu hapo pesa yote itaishia Kodi,umeme na gas na chakula
 
Unashangaa Nini? Mwanadamu anaanzia kwenye mbegu mpaka kuwa binadamu muuaji wa binadamu wenzie Unashangaa Nini? Au hujui Kuna siku utakuwa udongo?

Nyumbu bwana huwa hana hata sekunde ya kufikiri.
Kwanini atafute kibarua. Arudi nyumbani kama alivyojitamba. Mwambieni he will continue to pay the price, Mpaka atakapojifunza kusema ukweli...na ”kuomba msamaha”

Mwambieni kama hajui, wenzake wameomba msamaha Kwa uchungu sana”
 
Nyumbu bwana huwa hana hata sekunde ya kufikiri.
Kwanini atafute kibarua. Arudi nyumbani kama alivyojitamba. Mwambieni he will continue to pay the price, Mpaka atakapojifunza kusema ukweli...na ”kuomba msamaha”

Mwambieni kama hajui, wenzake wameomba msamaha Kwa uchungu sana”
Wenye mawazo mfu wenzako kina Gadafi unajua walipo? Walikuwa wanawaza matope na makamasi kuliko wewe lkn siku zilipowadia walitobolewa Malinda kabla kupigwa shaba za korodani. Jidanganye tu
 
Back
Top Bottom