Tundu Lissu kuanza kibarua kipya 01.10.2019

Gunda66

Gunda66

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Messages
517
Points
225
Gunda66

Gunda66

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2012
517 225
Still nasimama na Lisu sababu hatukumstahili huyu jamaa, na hatujamtendea haki kama wananchi wa TZ, mwache awe anavyotaka shida ikowapi? Ulitaka afe njaa na elimu anayo? Ni wakati wa elimu yke kumsaidia yeye na familia yake na sio sisi tusio na shukrani tuliojawa na unafki!
 
HFOOO

HFOOO

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Messages
574
Points
1,000
HFOOO

HFOOO

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2018
574 1,000
Unajua malipo yao yakoje huko?kipato cha mbunge wetu hapa TZ,Ulaya si lolote mkuu.
Ulaya kama brain ya mtu iko vizuri,kunalipa sana,lkn kama ni Lusinde au Milinga type hapafai.
Hapa kwetu vyeo ni vikubwa lkn kipato kidogo,tofauti kabisa na nchi za ulaya.
Utakuta mtu ni mbeba mabox tu huko ulaya lkn kipato chake hakilingani hata kidogo
na Afisa wa ngazi ya kati hapa kwetu.
Pili,sarafu yao iko juu sana tofauti na yetu....12mill etc za mbunge wa TZ ni pesa za
madafu kwa wenzetu
Umenena vyema mkuu wacha nikupe ushuhuda huu wakati nasoma Australia chuo kimoja huvi mjini Canberra nilipata kibarua mahali cha kuosha wazee na kufua nguo zao na kunyoosha pia na usafi wa Mazingira, kwa lisaa nilikuwa navuta dollar 110 mda mwingine hadi mia mbili kama familia inaowaleta wazee wapo na pesa,sasa kwa sababu nilikuwa mwanafunzi najikuta nafanya masaa 3 hadi manne ili nipate mda wa kwenda kujisomea Je! Ningesema nitulie masaa 8 au 10 kwa siku mbunge wa tz hakuna kitu tu.
Bahati mbaya sana shirika walionifadhili walikuwa na sheria moja soma ukimaliza rudi nchini mwako na hawakupi hata document yeyote ya kwenda kuomba walau kubaki hata mwaka mmoja upige kazi.
 
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
11,132
Points
2,000
Mkaruka

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
11,132 2,000
Bado unafanya kazi ya ulinzi?
Ndio.

Mpaka Huku Hata Kidogo Ninachokihangaikia Kwa Shida ( NSSF ) Kishadhulumiwa Na Joka La Ikulu.

Kodi ninayolipa kila mwezi HAIMTOSHI.

Linatamani Hata Hii Kazi Yangu Ya Ulinzi Nikose, Nipunguzwe Kazi Ndio Maana Limeagiza Ofisi Zote Za Umma Walinde CHEAP LABOUR wake wa Tsh 170,000 SUMA JKT Na Linafurahia
 
Naton Jr

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Messages
1,474
Points
2,000
Naton Jr

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2016
1,474 2,000
Umejibu tu kwa Hasira / Jazba na pengine hukuchukua muda wako Kutafakari vyema ( japo najua aliyeleta Uzi ni mwana CCM ) ila usisahau kuwa katika Maisha ya Mwanadamu pale hali ikienda ndivyo sivyo basi humlazimu Mtu Kufanya Kazi ambayo hata haikuwa ya Hadhi yake na Mifano hai ya Watu wa aina hii ipo wazi na mingi tu Ndugu.

Wakati ukisema kuwa Tundu Lissu hawezi Kuwa Advocacy Officer kutokana labda na Hadhi yake mbona hushangai kuna Watanzania wengine ambao hapa Tanzania wanajulikana kuwa na Umaarufu kama hata si Hadhi fulan ( hasa Kielimu ) lakini pale Maisha yakiwapiga au wakipata Fursa za kwenda Ng'ambo ( Ulaya / Marekani ) wengi wao hufanya Kazi za Aibu kabisa machoni mwa Macho na Mazoea ya Watanzania wengi kama Kuwachambisha Mimavi Wazungu, Kufua Chupi zao, Kuzibua Mitaro na kadhalika?

Binafsi sijaona cha ajabu kwa Tundu Lissu kama Maisha yakimpiga huko aliko na akalazimika kuwa Advocacy Officer. Kwani kuna tatizo gani kama akiifanya hiyo Kazi kwa muda huku akiwa na Malengo yake Kichwani na pale pengine akijipatia Kipato chake basi anaweza akaiacha na Yeye kuanzisha hata Legal Firm yake hapa Tanzania kama itawezekana au huko huko aliko ukizingatia kwamba tayari anajulikana na Wazungu hivyo wanaweza kumpa Ushirikiano na bado akaendelea tu kuwa na Maisha yake mazuri?

Siku nyingine muwe mnatafakari kabla ya Kujibu kwa Jazba zenu tu za Kisiasa / Kianaharakati na mkaonekana wa hovyo hovyo.
😂😂😂😂 Anajulikana na wazungu wapi? Tanzania Daima mwisho ufipa boss
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
12,790
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
12,790 2,000
Hakuna neema yoyote hii nchi inaweza kupata ikiwa chini ya hawa ccm despots, pamoja na rasilimali zote ilizonazo Tanzania itabaki "Shithole" siku zote.

Mtu anatawala labda miaka kumi lkn legacy anayokuja kuacha ni one of a brutal despot leaving behind dismal orphans and disables as poor victims of his misrule. Bure kabisa.
Kijana jenga hoja acha povu
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
12,790
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
12,790 2,000
Ndio.

Mpaka Huku Hata Kidogo Ninachokihangaikia Kwa Shida ( NSSF ) Kishadhulumiwa Na Joka La Ikulu.

Kodi ninayolipa kila mwezi HAIMTOSHI.

Linatamani Hata Hii Kazi Yangu Ya Ulinzi Nikose, Nipunguzwe Kazi Ndio Maana Limeagiza Ofisi Zote Za Umma Walinde CHEAP LABOUR wake wa Tsh 170,000 SUMA JKT Na Linafurahia
Hamia Suma JKT
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
12,790
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
12,790 2,000
Still nasimama na Lisu sababu hatukumstahili huyu jamaa, na hatujamtendea haki kama wananchi wa TZ, mwache awe anavyotaka shida ikowapi? Ulitaka afe njaa na elimu anayo? Ni wakati wa elimu yke kumsaidia yeye na familia yake na sio sisi tusio na shukrani tuliojawa na unafki!
Kamanda ni taarifa tu imeletwa
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
30,910
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
30,910 2,000
Sawa tu kama ni kweli.
Mkuu hivi kazi hiyo inaombewa kibali Wizara ya Habari, utamaduni na michezo hadi @Wakudadavua ndio awe wa kwanza kujua na kuleta JF?
Sina imani na huyo katika kila asemacho kuhusu Lissu, Mbowe na Chadema. Hata hivyo kwa vile "sisi" tumeshindwa kutumia vichwa bora basi acheni hao tuwaitao mabeberu wavitumie na mimi ningependa iwe hivyo
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
12,790
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
12,790 2,000
Unataka jiwe afe kwa pressure, hivi ukitokea madahalo wa kiingereza kwa wagombea wote wa urais itakuwaje? Si unajua kwenye kugombea ubunge wa Afrika mashariki huwa wanahojiwa kwa kiingereza, je huko kwenye urais si ndio balaa?
Mkagombee uingereza
 
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Messages
30,910
Points
2,000
Chakaza

Chakaza

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2007
30,910 2,000
yani kutoka kuwa mbunge mpaka kuwa advocacy officer?pathetic
Mbunge Tanzania? Mahali ambapo Msukuma au Lusinde wanaweza kuwa wabunge?
Hivi Gavana wa BOT kwenda World Bank kuwa afisa mikopo utashangaa au utasema ameula? Vyeo vyenu vya hapa usilinganishe na huko duniani hata kidogo.
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,888
Points
2,000
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,888 2,000
Umenena vyema mkuu wacha nikupe ushuhuda huu wakati nasoma Australia chuo kimoja huvi mjini Canberra nilipata kibarua mahali cha kuosha wazee na kufua nguo zao na kunyoosha pia na usafi wa Mazingira, kwa lisaa nilikuwa navuta dollar 110 mda mwingine hadi mia mbili kama familia inaowaleta wazee wapo na pesa,sasa kwa sababu nilikuwa mwanafunzi najikuta nafanya masaa 3 hadi manne ili nipate mda wa kwenda kujisomea Je! Ningesema nitulie masaa 8 au 10 kwa siku mbunge wa tz hakuna kitu tu.
Bahati mbaya sana shirika walionifadhili walikuwa na sheria moja soma ukimaliza rudi nchini mwako na hawakupi hata document yeyote ya kwenda kuomba walau kubaki hata mwaka mmoja upige kazi.
Acha fix dola 11 sawa kwa saa 110 we mwanafunzi wp na wp?
Matango pori hayo
 
Forum statistics

Threads 1,334,884
Members 512,157
Posts 32,489,874
Top