Tundu Lissu kimataifa: Akutana na David Mcallister, Mwenyekiti wa Kamati ya Mashauri ya Kigeni ya Bunge la Ulaya


Ghadafi alikuwa mshenzi kwa watu wake hasa wabeghazi lakini pia akajifanya mjuaji kwenye maslahi ya mabeberu.... Ghadafi angesimamia vizuri maslahi ya mabeberu basi angetawala kwa amani kabisa hata kama angekuwa anaua walibya wenzake...

Saadam Iraq aliwekwa madarakani na CIA na akayasimamia vyema maslahi ya USA pamoja na kuwaua waarabu wenzie hakuna aliyemgusa, pale alipoanza kusumbua mabwana zake tu walimshukia faster....Saudia chini ya MBS inasimamia vizuri maslahi ya USA hata MBS afanye nini hakuna wakumgusa ndio maana Kashoghi amekufa kama kuku na iko wazi nani mhusika lakini kimya
 
Kwa Gadafi
 
Mabeberu walipopeleka makombora pale na kulipua hovyo ili kumua gadafi kuna utulivu wowote umerejea sasa?

..Gaddafi angeruhusu vyama vya siasa na demokrasia tusingekuwa tunazungumzia makombora.
 
Kwa hiyo sasa hivi watu wako huru!

Democrasia imetawala maisha ni mazuri sana baada ya mzungu kuleta demcrasia?
Siyo sababu yakutokudai democracy halisi. Siyo hivi viini macho . WaLibya wameharibikiwa kwa sababu ya Gaddafi mwenyewe . Miaka 42 na bado unataka mwao akurithi !!. Hata hapa kwetu sababu ya Ccm kung'ang'ania madarakani miaka 60 bila kuweka mazingira mazuri ya kupokezana vijiti yaweza kuleta hali hiyo ya Libya leo.
 

..walipakodi na wapigakura wao hawapendi serikali zao zifadhili tawala za kidhalimu.

..kwa hiyo viongozi wanapata "credit" fulani kama wataonekana wanatumia kodi za wananchi vizuri.

..kwenye suala la rasilimali wanapenda STABILITY na kuingia mikataba na tawala zisizoendekeza rushwa.

..ukiwaahidi stability kupitia demokrasia na haki, na kuwaahidi kuunda serikali isiyoendekeza rushwa, utakuwa umewashawishi vya kutosha.

..makampuni ya mabeberu yanaweza kuadhibiwa ikiwa yatajiingiza ktk vitendo vya rushwa na ukiukwaji wa haki za binaadamu yanapofanya biashara nje ya nchi.
 
Bora wazungu kuliko kuuawa na mtu unayemjua. Jpm ameua wangapi ndani ya mda mfupi je angemaliza miaka 10 angeua wangapi
 
Nenda kwa kagame uone wapinzani wanavyonyanyaswa na kubambikwa makesi ya uhaini na kunyongwa. Yule mdada aliyekuwa mshindani wake mpaka leo yupo selo na bila shaka ameshakufa
 
Libya ya Gadafi na hii ya baada ya democrasia ya mzungu ziko sawa?
 
Kwa hiyo nchi za kikomunisti hazina maendeleo?!!!

Tafsiri ya maendeleo ni pana mno.....na hwenda kila mmoja akawa na tafsiri yake.....
 
Tatizo huonekana pale WAKOSOAJI wa watawala wakifanya jukumu lao hilo huku wakichagua upande....tena wakiwa "biased" mathalani afanyavyo Askofu Niwemugizi......
 
Wewe ni jitu la hovyo tu. Mwanaume unatakiwa uwe na msimamo uwe thabit. Wewe ni wa ovyo kaa ukijua hilo
 
Chama cha CDU kimeshindwa uchaguzi mkuu nchini Ujerumani.....

CDU cha David Mc Allister ni chama rafiki cha CHADEMA....ni hawahawa akina Mc Allister walio MASPONSA wakubwa wa CDM....
 
Niko vizuri, ninajutambua. Akili yangu haiwezi kufuata mkumbo wa kumsikiliza Mbowe au Lissu. Mimi nataka changamoto mpya na tunayo na Rais SSH

Hata msukuma ndani ya ping kusema:

"Nduhu I tabu" = "Hamna Taabu."

😂😂!

Hiiiiii bagosha!
 
Wewe ni jitu la hovyo tu. Mwanaume unatakiwa uwe na msimamo uwe thabit. Wewe ni wa ovyo kaa ukijua hilo
Tumetumia miaka 5 tukimkosoa Magufuli arudishe utawala wa Sheria na democracy nchini. Tulimchallenge dhidi ya vitendo vya kuteka na kuua, kunyang'anya fedha matajiri na kutumia raslimali za umma kujenga Kijijini kwake Chato.

Amekuja Rais SSH, amebadili hali ya hewa kisiasa na kiuchumi nchini. Na mwanzoni hata nyinyi CHADEMA mulimshangilia kuwa MAMA ANAIPIGA MWINGI.

Sasa mumefanya UPUMBAVU WENU wa kukosa busara na subira, mnataka na Mimi niwaunge mkono?? No hiyo itafanywa na MISUKULE ya Mbowe tu, not me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…