Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kushinda Uchaguzi wa 2020, Dkt. Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda

General statement but ushindani ni mkubwa. Lissu amevuta watu wengi kwake ambayo ni advantage. Kuna watu hawatapiga kura wengine ni wale ambao wangepigia ccm.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Wanaenda kumuangalia mzimu unatembea hakuna mtu duniani aliyepigwa risasi 16 na Bado anaishi hayupo....
 
Hilo halina ubishi

Watoto wa kitaa wanasema mzee Magu kawafundisha kuchapa kazi. Eti siku hizi hakuna pesa za deals.....Na wanamsifu kwa hilo.

Nikiwahi kusema Tundu ni sawa na mfanyabiashara wa beer na kitimoto anayeamua kwenda kuwekeza Mecca au madina

Mtaweweseka Sana
 
Rais Magufuli atashinda kwa kishindo matusi ya lissu yamewakasirisha Watanzania

October 28 tunaenda kumfundisha msaliti wa Nchi adabu

Nyie Mafisi wa CCM mnawafanya Watz kama mazuzu!!!
Hayo MATUSI ya Lissu ni yepi yaliyo wakasirisha Watz?
TATIZO LA UTAWALA HUU WA KIDIKTETA NI KWAMBA MAGUFULI AKIKOSOLEWA NA UPINZANI ANAONA KATUKANWA MATUSI??
Shame on you CCM g*ys.
 
Watanzania Leo Kuna jamaa yangu kaniambia yupo kwenye usimamizi wa uchaguzi

Sasa semina Yao ya siku mbili iliyoanza leo wamepewa 80000/=

Chakushanga maneno waliyoambiwa kwamba presha huku nje ipo kubwa sana kwaiyo ikiwezekana kuua wakala waue tu ili mradi Maghufuri ashinde.

Kwanza walitolewa wote ambao walifatiliwa habari zai zikaonekana zinavinasaba vya upinzani.

Jaman tuweni makini uchaguzi huu ni hatari sana Kuna watu wapo tayari kuwa ili Meko ashinde usimwamini mtu.

Haki huinua TAIFA

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hilo liko wazi...Lissu kabisa kuapishwana Jaji Mkuu mmmhayatakuwa maajabu mengine.....so kwa tz nayoijua Mimi labda nje ya tz
 
Hivi watu wanaenda kumshangaa kupona kufa baada ya risasi 38 na 16 kumpata mwilini hawahoji kwanini Magu alitaka kumuua Tundu au watahoji tar 28 Oct??
 
Mkuu Tundu hawajui watanzania😁

Watanzania ukiwajua utaishi kwa raha sana wana upendo sana, wana huruma, wana mshikamano, watakufanyia chochote bila hata malipo mradi uwadharau.
Kitendo cha Tundu kuwaambia watanzania hawajui kiingereza tuu lilikua tusi
Kitendo cha Tundu kujirekodi kwa kiingereza na kumtumia Amstadam nalo tusi
Kitendo cha Tundu kutukana watendaji wa vyombo vya serikali Hilo ni tusi
Na mengine mengiii..... watanzania ndio wale wakuitwa wajumbe. Muulizeni Mpoki, Zamaradi na Steve

Magufuli anawajua watanzania na watanzania wanamjua hata mumpake matope watamsafishaa
Hivi wewe na Magu munajua Kidhungu?? tuanzie hapo kwanza
 
Hatujui mwaya, kwani Amstadam anajua kiswahili?
Pata nice bundle kama una uwezo type kwenye Youtube search button "Robert Amsterdam" sio Amstadam find out kama anaongea kisukuma otherwise mtu ambaye nimemunyima kura tayari namjua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom