Kwisha habari yako...umesha legea.Lissu anazidi kupotea njia.
Kwa aibu ya kushindwa atakayopatakwasababu gani
Najiaribu kukuelewa lkaini bado, simplify kwanzaMh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
Mayanga Construction mtaipata October kwa ufisadi wenu.Huyu Lisu lazima oktoba arudi kwa beberu wake Amsterdam akiwa analia
Lisu bado sana! Magu ame relax kabisa tena anaendelea kutoa oda za ki Rais!Kiukweli Lissu sio wa mchezo kabisa.
Mchakamchaka anaoupeleka, naona Magufuli pumzi imeanza kukata.
Vipi na wewe una kampuni yako unataka kupewa tenda badala yake?Mayanga Construction mtaipata October kwa ufisadi wenu.
Babu yako AMESHALEGEAHuyu Lisu lazima oktoba arudi kwa beberu wake Amsterdam akiwa analia