Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

Mkuu, haya ni mambo ya siasa kwa kawaida wanasiasa hu react negatvely pale upande wa pili unapokuwa kikwazo kwa malengo yake na positively pale upande wa pili unapo support
wanasiasa huwa na lengo X na wapiga kura wanaweza kuwa na lengo Y. basi wanasiasa wataenda na lengo Y ku win support na wakishapata nafasi hurudia tena lengo lao X. THOUGH POLITICS IS A DIRTY GAME, all of us live within it

Mkuu naona ume-generalize mambo, mimi sijazungumzia "wanasiasa" bali kauli ya Tundu Lissu kuwa CUF ni CCM B! Only that!
 
Tundu Lissu alidai kuwa CUF ni CCM B kwa kuwa CUF na CCM walifunga ndoa kwa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Sasa tuambie hiyo ndoa ilishavunjwa au bado? Msitupelekeshe kihivyo wakuu mkafikiri tumesahau yaliyopita!
umeangalia iyo clip rafiki .................................chadema maslai ya taifa kwanza , lakini najua kwa muungano huu CCM lazima mpanic
 
Leo nakuja tu na mambo mchanganyiko hadi basi, nahisi mwisho utakachochukuwa kitu.

Tukumbuke kuishi na akiba ya maneno jamani.

Tuliaminishwa hapo Awali kwamba CUF ni CCM B.
Tukaaminishwa tena kwamba NCCR Mageuzi nayo ni CCM B.
"CCM Bs" wakaungana na aliyewaita CCM B wakaunda
UKAWA.

Hivyo basi; UKAWA ina members wawili ambao kimsingi ni CCM B.
#TeamCCMB
#AkibaYaManeno
 
CUF = CCM B................(i)

CUF = CHADEMA............(ii)

Recall equation (i)

CHADEMA = CCM B........(iii)

CUF = WALIBERALI.............(iv)

CHADEMA = CUF............(v)

Recall equation (iv)

CHADEMA = WALIBERALI......(vi)
 
CUF = CCM B................(i)

CUF = CHADEMA............(ii)

Recall equation (i)

CHADEMA = CCM B........(iii)

CUF = WALIBERALI.............(iv)

CHADEMA = CUF............(v)

Recall equation (iv)

CHADEMA = WALIBERALI......(vi)

Viroba vya jana bado vinakusumbua! Ndio umeandika utumbo wa mnyama gani hapa?☆☆☆☆₩₩₩₩★☆★
 
Mimi nafikiri CCM ilipanga kwa hao sasa kodi ya pango imeisha na wao hawataki tena ushirika na CCM, Sasa wameamua kumtoa nje CCM, ndo maana UKAWA ikaundwa kwa vile wako free, CCM baada ya kutolewa nje ameona aachane na kupanga na sasa amejenga nyumba yake mwenywe ambayo ni ACT na ADC
 
UKAWA itawasumbua sana nyinyi wajinga. Na Mwaka huu mnavikaragosi watupu. Hakuna mtu CCM anayekubalika na Wananchi. Hakuna anayeuzika. Mtakoma.
 
Mimi nafikiri CCM ilipanga kwa hao sasa kodi ya pango imeisha na wao hawataki tena ushirika na CCM, Sasa wameamua kumtoa nje CCM, ndo maana UKAWA ikaundwa kwa vile wako free, CCM baada ya kutolewa nje ameona aachane na kupanga na sasa amejenga nyumba yake mwenywe ambayo ni ACT na ADC

Kwahiyo unataka kutwambia CUF wamevunja ile ndoa ya awali? Je mbatia kajiudhulu ubunge wa viti maalum hadi useme ndoa za mwanzo zimevunjika?

Jifunzeni kuweka Akiba ya Maneno.

Haya ndo madhala ya kuongozwa na watu wasiojitambua wenye elimu ndogo. Wanakidhalilisha Chama na wafuasi wao kuonekana kama mapoyoyo.
 
Hapo umewashika kwenye tz dume, Aisee wewe Buchman sijui Buchanan siku nyingine usisemege ukweli namuna hii, mweee unasema ukweli kama nini bhana, uwe unakausha bana unaharibu madili yetu mkuu. tunachumba cha kutesea watu kama nyinyi hutujui eeeh, sisi ndio BABAVICHAAA.
 
Tunataka majibu mkuu, ndio tuwaamini! Sio kutuaminisha kuwa CUF ni CCM B na hutaki kushirikiana naye, halafu kesho unawakumbatia na kuonesha kuwa wao ni "wazalendo!"
Chezea wanasiasa wewe. Hawakuishia hapo, waliwaita wenzao mashoga lakini leo vyama hivyo ni mashoga (marafiki). Unaweza shangaa wanaiita CCM ni chama cha wazalendo ii mradi tu wapate madaraka!

hata hivyo nadhani kabla ya muungano huu, CHADEMA waliomba samahani kwa wenzao?
 
Chadomo na huyu mtu wao anaitwa Tundu yaani ni tundu kweli.Wao kazi kuropoka na kuongea vitu wasivyo vijua sasa sijui ndo wanakula matapishi.Wewe Tundu la Chadema unajielewa kweli.Tango kabisa
 
UKAWA itawasumbua sana nyinyi wajinga. Na Mwaka huu mnavikaragosi watupu. Hakuna mtu CCM anayekubalika na Wananchi. Hakuna anayeuzika. Mtakoma.

Mkuu, siasa zimebadilika kwa sasa. Habari ya mujini kwa sasa ni ACT Wazalendo ambao tayari tumeshaambiwa ni "Tawi la CCM!" Wakijiunga na UKAWA huo wimbo wa "Tawi la CCM" utabadilishwa tyuni!
Hiyo ndio si-hasa aisee!
 
Back
Top Bottom