Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

Tundu Lissu alidai kuwa CUF ni CCM B kwa kuwa CUF na CCM walifunga ndoa kwa kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar. Sasa tuambie hiyo ndoa ilishavunjwa au bado? Msitupelekeshe kihivyo wakuu mkafikiri tumesahau yaliyopita!

Once JF moderator unashindwa kulielewa hili?
Kuna wakati Kenya tuliwaita Manyangau jee Leo twaweza tena? Sio ni marafiki na tunashirikiana?
Vipi Kaburu SA? Tulisema na kuimba " chinja" mbona Leo kila kitu chetu tumempa amiliki yeye? Sasa sio hovyo unavyodhani wewe, na ulitegemewa kuwa tofauti kidogo ktk uelewa vinginevyo JF itabidi ijiulize a in a ya Mods wake
 
Hivi tutaendelea kuishi kwa uwongo hadi lini?

Kila Chadema inapozidiwa kisiasa huibuka na madai ya kutunga ili kutafuta huruma ya wananchi.

Chadema waliwahi kuuaminisha Uma kuwa chama cha CUF ni ccm B,kuwa wamefunga ndoa na ccm hivyo hakuna sababu ya kushirikiana na Mamluki.

Hawakuishia hapo wakaituhumu CUF kuwa ni chama cha Mashoga.

Wananchi wengi tuliwaamini Chadema na kuwaunga Mkono.

Mbatia alivyotaka kuinuka kisiasa nae akabambikwa tuhuma ili kumchafua kisiasa.

Mbatia akaitwa kuwa ni Shushushu wa serikali ya ccm na hivyo yupo Upinzani kuvuruga.

Wakaenda Mbali kwa kutoa ushahidi wa kuteuliwa kwake na Rais kuwa Mbunge wa kuteuliwa,watu tukawaamini.

Ghafla Chadema ikaungana na Wasaliti wa ukombozi.
Chadema ikaungana na ccm B.

Chadema ikaungana na Mashoga.

Najiuliza hivi ni lini Chadema ilifuta kauli yake kuwa CUF ni CCM B?

Hivi ni chadema ninayoijua iliyoamua kushirikiana na Mashoga?

Ukweli ni kuwa Uongo hupanda ghorofa kwa kutumia lift.

Lakini ukweli hupanda ghorofa kwa Ngazi.

Baada ya Chadema kuishi kwa kuwatungia uongo ili wao waendelee kuwa chama kikubwa ni siasa za Kitoto na siasa ambazo hazina tija.

Baada ya ukweli kugundulika sasa wanahaha kujinusuru na hasira za wananchi waliodanganywa kwa muda mrefu.

Badala wajisahihishe na kuwaomba radhi watanzania kwa kuwadanganya Kihusu U-CCM B na Ushoga wa CUF.

Wamerudia tena Makosa.

Safari hii neno Mmluki wamelihamishia ACT-Wazalendo kwa lengo lilelile.

Mbaya zaidi wanarudia Makosa ambayo tayari wananchi wameshayagundua.

Karibu kila Mtanzania anajuwa kuwa Chadema wamezoea kuishi kwa Ulaghai na nikwasababu hiyo wananchi wamewapuuza propaganda zao.

Kila Chadema inapotumia neno CCM B na Wasaliti ndivyo wanavyowakumbusha wanamchi na kuwatia hasira kuhusu uongo wao dhidi ya CUF na NCCR.

Wananchi hufurika kwenye mikutano ya ACT-Wazalendo kama sehemu ya kuonyesha kwa vitendo jinsi walivyochukizwa na uongo wa kutunga.

Uongo huwa haudumu sana,ukweli unapodhirika huwa ndio mwisho wa uongo.

Unaweza kuwadanganya watu wachache kwa muda wote,unaweza kuwadanganya watu wengi kwa muda mchache lkn huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.
Tujusahihishe.
 
Chadema ishastuka inajifia taratibuuu.waacheni hao ukweli utawachapa daima
 
hakuna jipya yaleyale
 
Nakubaliana nawe kwa kiasi,Mimi nadhani tatizo kubwa la Chadema ni msingi ulioasisi chama hiki,na link yao na uongozi wa chama WA sasa,wangefunguka tu na kwenda na wakati Chadema wangekuwa wakombozi WA Kweli,ukiangalia matatizo yote ya Chadema ni yana mahusiano na msingi ulioasisi chama hiki
 
Hivi tutaendelea kuishi kwa uwongo hadi lini?

Kila Chadema inapozidiwa kisiasa huibuka na madai ya kutunga ili kutafuta huruma ya wananchi.

Chadema waliwahi kuuaminisha Uma kuwa chama cha CUF ni ccm B,kuwa wamefunga ndoa na ccm hivyo hakuna sababu ya kushirikiana na Mamluki.

Hawakuishia hapo wakaituhumu CUF kuwa ni chama cha Mashoga.

Wananchi wengi tuliwaamini Chadema na kuwaunga Mkono.

Mbatia alivyotaka kuinuka kisiasa nae akabambikwa tuhuma ili kumchafua kisiasa.

Mbatia akaitwa kuwa ni Shushushu wa serikali ya ccm na hivyo yupo Upinzani kuvuruga.

Wakaenda Mbali kwa kutoa ushahidi wa kuteuliwa kwake na Rais kuwa Mbunge wa kuteuliwa,watu tukawaamini.

Ghafla Chadema ikaungana na Wasaliti wa ukombozi.
Chadema ikaungana na ccm B.

Chadema ikaungana na Mashoga.

Najiuliza hivi ni lini Chadema ilifuta kauli yake kuwa CUF ni CCM B?

Hivi ni chadema ninayoijua iliyoamua kushirikiana na Mashoga?

Ukweli ni kuwa Uongo hupanda ghorofa kwa kutumia lift.

Lakini ukweli hupanda ghorofa kwa Ngazi.

Baada ya Chadema kuishi kwa kuwatungia uongo ili wao waendelee kuwa chama kikubwa ni siasa za Kitoto na siasa ambazo hazina tija.

Baada ya ukweli kugundulika sasa wanahaha kujinusuru na hasira za wananchi waliodanganywa kwa muda mrefu.

Badala wajisahihishe na kuwaomba radhi watanzania kwa kuwadanganya Kihusu U-CCM B na Ushoga wa CUF.

Wamerudia tena Makosa.

Safari hii neno Mmluki wamelihamishia ACT-Wazalendo kwa lengo lilelile.

Mbaya zaidi wanarudia Makosa ambayo tayari wananchi wameshayagundua.

Karibu kila Mtanzania anajuwa kuwa Chadema wamezoea kuishi kwa Ulaghai na nikwasababu hiyo wananchi wamewapuuza propaganda zao.

Kila Chadema inapotumia neno CCM B na Wasaliti ndivyo wanavyowakumbusha wanamchi na kuwatia hasira kuhusu uongo wao dhidi ya CUF na NCCR.

Wananchi hufurika kwenye mikutano ya ACT-Wazalendo kama sehemu ya kuonyesha kwa vitendo jinsi walivyochukizwa na uongo wa kutunga.

Uongo huwa haudumu sana,ukweli unapodhirika huwa ndio mwisho wa uongo.

Unaweza kuwadanganya watu wachache kwa muda wote,unaweza kuwadanganya watu wengi kwa muda mchache lkn huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.
Tujusahihishe.

Pumba tupu! Haaaaaa! Haaaaaaa! Haaaaaa! Haaaaaaa!
 
Hakuna umaskini mbaya kama umaskini wa mawazo .mtoa mada ni maskini wa akili .
 
ACT chama pendwa na Ma CCM/......Rafiki wa adui yako ni.......??
 
na nyie act mnavyosema chadema ni cha wachaga thibitisheni kwanza

Mmiliki mt.eei mc.haga, mwenyekiti mch.aaaga, mfadhili mkuu nde..sapesa mcha.aga, wabunge wengi viti maalum wacha..gaa mhasibu nakuendelea
 
Hivi tutaendelea kuishi kwa uwongo hadi lini?

Kila Chadema inapozidiwa kisiasa huibuka na madai ya kutunga ili kutafuta huruma ya wananchi.

Chadema waliwahi kuuaminisha Uma kuwa chama cha CUF ni ccm B,kuwa wamefunga ndoa na ccm hivyo hakuna sababu ya kushirikiana na Mamluki.

Hawakuishia hapo wakaituhumu CUF kuwa ni chama cha Mashoga.

Wananchi wengi tuliwaamini Chadema na kuwaunga Mkono.

Mbatia alivyotaka kuinuka kisiasa nae akabambikwa tuhuma ili kumchafua kisiasa.

Mbatia akaitwa kuwa ni Shushushu wa serikali ya ccm na hivyo yupo Upinzani kuvuruga.

Wakaenda Mbali kwa kutoa ushahidi wa kuteuliwa kwake na Rais kuwa Mbunge wa kuteuliwa,watu tukawaamini.

Ghafla Chadema ikaungana na Wasaliti wa ukombozi.
Chadema ikaungana na ccm B.

Chadema ikaungana na Mashoga.

Najiuliza hivi ni lini Chadema ilifuta kauli yake kuwa CUF ni CCM B?

Hivi ni chadema ninayoijua iliyoamua kushirikiana na Mashoga?

Ukweli ni kuwa Uongo hupanda ghorofa kwa kutumia lift.

Lakini ukweli hupanda ghorofa kwa Ngazi.

Baada ya Chadema kuishi kwa kuwatungia uongo ili wao waendelee kuwa chama kikubwa ni siasa za Kitoto na siasa ambazo hazina tija.

Baada ya ukweli kugundulika sasa wanahaha kujinusuru na hasira za wananchi waliodanganywa kwa muda mrefu.

Badala wajisahihishe na kuwaomba radhi watanzania kwa kuwadanganya Kihusu U-CCM B na Ushoga wa CUF.

Wamerudia tena Makosa.

Safari hii neno Mmluki wamelihamishia ACT-Wazalendo kwa lengo lilelile.

Mbaya zaidi wanarudia Makosa ambayo tayari wananchi wameshayagundua.

Karibu kila Mtanzania anajuwa kuwa Chadema wamezoea kuishi kwa Ulaghai na nikwasababu hiyo wananchi wamewapuuza propaganda zao.

Kila Chadema inapotumia neno CCM B na Wasaliti ndivyo wanavyowakumbusha wanamchi na kuwatia hasira kuhusu uongo wao dhidi ya CUF na NCCR.

Wananchi hufurika kwenye mikutano ya ACT-Wazalendo kama sehemu ya kuonyesha kwa vitendo jinsi walivyochukizwa na uongo wa kutunga.

Uongo huwa haudumu sana,ukweli unapodhirika huwa ndio mwisho wa uongo.

Unaweza kuwadanganya watu wachache kwa muda wote,unaweza kuwadanganya watu wengi kwa muda mchache lkn huwezi kuwadanganya watu wote kwa muda wote.
Tujusahihishe.

yote ni yale yale ya zamani hakuna jipya na la kushtua hapo!!

AcT itabaki kua alliance for cowards and traitors!
 
Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!

Siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu...
 
Cdm ni mabigwa wa uongo . baada ya kujua zzt hatoacha siasa ilibidi watafute mwamvuli wa kujificha. hawana mwenye uwezo kama zzt . hadi hivi sasa hawapendi kuungana na chama chochote.ili kubaki kwenye siasa lazima iwapigie magoti.na mda si mlefu watampigia magoti zzt . cdm haina hoja inayo matusi na tamaa ya luzuku na wala haina nia zuri na demokrosia.
 
Copy and Paste ya mdau fulani Facebook:

Hivi tutaendelea kuishi kwa uwongo hadi lini?
Kila Chadema inapozidiwa kisiasa huibuka na
madai ya kutunga ili kutafuta huruma ya
wananchi.
Chadema waliwahi kuuaminisha Uma kuwa
chama cha CUF ni ccm B,kuwa wamefunga ndoa
na ccm hivyo hakuna sababu ya kushirikiana na
Mamluki.
Hawakuishia hapo wakaituhumu CUF kuwa ni
chama cha Mashoga.
Wananchi wengi tuliwaamini Chadema na
kuwaunga Mkono.
Mbatia alivyotaka kuinuka kisiasa nae
akabambikwa tuhuma ili kumchafua kisiasa.
Mbatia akaitwa kuwa ni Shushushu wa serikali ya
ccm na hivyo yupo Upinzani kuvuruga.
Wakaenda Mbali kwa kutoa ushahidi wa
kuteuliwa kwake na Rais kuwa Mbunge wa
kuteuliwa,watu tukawaamini.
Ghafla Chadema ikaungana na Wasaliti wa
ukombozi.
Chadema ikaungana na ccm B.
Chadema ikaungana na Mashoga.
Najiuliza hivi ni lini Chadema ilifuta kauli yake
kuwa CUF ni CCM B?
Hivi ni chadema ninayoijua iliyoamua kushirikiana
na Mashoga?
Ukweli ni kuwa Uongo hupanda ghorofa kwa
kutumia lift.
Lakini ukweli hupanda ghorofa kwa Ngazi.
Baada ya Chadema kuishi kwa kuwatungia uongo
ili wao waendelee kuwa chama kikubwa ni siasa
za Kitoto na siasa ambazo hazina tija.
Baada ya ukweli kugundulika sasa wanahaha
kujinusuru na hasira za wananchi
waliodanganywa kwa muda mrefu.
Badala wajisahihishe na kuwaomba radhi
watanzania kwa kuwadanganya Kihusu U-CCM B
na Ushoga wa CUF.
Wamerudia tena Makosa.
Safari hii neno Mmluki wamelihamishia ACT-
Wazalendo kwa lengo lilelile.
Mbaya zaidi wanarudia Makosa ambayo tayari
wananchi wameshayagundua.
Karibu kila Mtanzania anajuwa kuwa Chadema
wamezoea kuishi kwa Ulaghai na nikwasababu
hiyo wananchi wamewapuuza propaganda zao.
Kila Chadema inapotumia neno CCM B na
Wasaliti ndivyo wanavyowakumbusha wanamchi
na kuwatia hasira kuhusu uongo wao dhidi ya
CUF na NCCR.
Wananchi hufurika kwenye mikutano ya ACT-
Wazalendo kama sehemu ya kuonyesha kwa
vitendo jinsi walivyochukizwa na uongo wa
kutunga.
Uongo huwa haudumu sana,ukweli unapodhirika
huwa ndio mwisho wa uongo.
Unaweza kuwadanganya watu wachache kwa
muda wote,unaweza kuwadanganya watu wengi
kwa muda mchache lkn huwezi kuwadanganya
watu wote kwa muda wote.
CHADEMAAA INAPASWA KUBADILIKA NA
KUACHA SIASA ZA KITOTO NA KIZAMANI.
 
ivi story za fb tangu lini zimeanza kuletwa jf? au watu mmesahau sheria za Jf .acheni kushusha hadhi ya JF
 
Mwisho wa siasa zao za chuki,majungu,matusi,fitina zinafika mwisho, kila mwanadam ana akili yake, huu ni muda wa kupima na kuamua na watambue mwenye kapewa kapewa tu, kama mungu ndie kamuongoza mtu awe mwanasiasa atakae mshusha ni yeye pekee. Team wazalendo
 
Back
Top Bottom