Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

Kila swali linahitaji jibu lake, plse!

Mtahaha sana na muungano wa UKAWA !! Mliita wenzenu wapenda maandamano mbona nyie tanzania one sijui kwanza mnaandaa ??

Rais wenu JK alisema 'sizitaki kura zenu' wafanyakazi mbona aliiruka kimanga kauli yake ???

Mlipoona CHADEMA na CUF wameenda Jangwani na mkasema hamna haja ya kwenda huko, mbona mlisomba mawaziri,non mizigo mkaenda pia ??

Sasa vichekesho jana nimemsikia mwenyekiti wa vyama vya siasa Peter Mziray akiponda UKAWwA hahahaha mtahahah sana mwaka huu

Mnatuonyesha jeshi kututishia sisi raia wa kawaida ??

Ngoja muungano uwatoe majasho
 
Niwakumbushe Historia.

Mwaka 1979 katika Vita ya Uganda, Gadaffi aliisaidia Uganda kutushambulia kwa kuipatia vifaa. Nyerere akamchukia na wote tukaungana na Nyerere katika hilo.
Mwaka 2009 kuelekea miaka 10 bila mwalimu, mama Maria Nyerere akatuambia kule butiama kwamba Nyerere alimuomba Gadaffi fedha za kujengea shule mwaka 1996, Gadaffi akaleta za kujengea Msikiti uliopo butiama hadi leo.

Hii inaonesha katika mambo ya kukubaliana kupingana na adui tunaungana. Kama tunaaminiana tutalingana.

Unataka majibu matatu?
Rudia jibu hilo mara tatu uone kama halifai

CUF ni CCM B au la?
 
Mtahaha sana na muungano wa UKAWA !! Mliita wenzenu wapenda maandamano mbona nyie tanzania one sijui kwanza mnaandaa ??

Rais wenu JK alisema 'sizitaki kura zenu' wafanyakazi mbona aliiruka kimanga kauli yake ???

Mlipoona CHADEMA na CUF wameenda Jangwani na mkasema hamna haja ya kwenda huko, mbona mlisomba mawaziri,non mizigo mkaenda pia ??

Sasa vichekesho jana nimemsikia mwenyekiti wa vyama vya siasa Peter Mziray akiponda UKAWwA hahahaha mtahahah sana mwaka huu

Mnatuonyesha jeshi kututishia sisi raia wa kawaida ??

Ngoja muungano uwatoe majasho

Mkuu Muungano utawatoa jasho kikundi haramu cha UKAWA, nasikia sasa hivi wamekimbilia Mahakamani!
 
Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!

CDM ni CCM "C".
 
Wagombanao ndio wapatanao, ushirika wa CHADEMA , NCCR na CUF hautaondolewa kwa propaganda nyepesi hizo, CCM imenyanyasa sana watanzania , huo mimi nauna ni kama mpango wa Mungu, mmetiwa upofu CCM, mnafikiri wingi wenu siku zote utawasaidia.

Msipo jitafakari kwa mikakati hii ya upinzani itawapa milage kubwa mno katika siasa za hapa nchini
 
Kwa mawazo yangu ili upinzani uwe na nguvu kisheria, kuwe na makubaliano ya kisheria juu ya huo wanaouita "UMOJA!" Otherwise, hili la kuamka asubuhi na kuulizana "leo tukaandamane wapi" itawagharimu sana! Kama unabisha mkuu, siku si nyingi tutasikia migogoro ya kugombea madaraka!!
 
Orait, tuambie mkuu kama CUF imeacha kuwa CCM B! Msichukuliwe na upepo halafu baadaye muanze kutafutana hapa!

Tusichukuliwe upepo mimi na nani? Nikuulize wewe CUF walitoka bungeni au bado wapo? Jibu lake litakwambia kama wao bado ni CCM B au la!
 
CHADEMA wameungana na CUF kwenye katiba tu, mambo mengine hakuna ushirikiano! Tatizo la CUF ni kwamba waliungana na CCM kuendesha serikali!
 
Tusichukuliwe upepo mimi na nani? Nikuulize wewe CUF walitoka bungeni au bado wapo? Jibu lake litakwambia kama wao bado ni CCM B au la!

Kwani kupima kuwa chama fulani ni CCM B au la ni kutoka au kutotoka Bungeni?
 
Kwenye siasa akuna adui wa kudumu tofauti zinazikwa kwa njia ya makubaliano sasa wewe endelea kufikili ivo
 
Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!

UHESHIMIWE LAYMAN,IGNORANT,ARROGANT GOONY GUY KAMA WEWE NA HUU UPUUZI YANI UNAHARISHA KAMA WENZAKO TEAMUKAWAPHOBIA ,na budjet ya 7000 SIJUI HATA ikoje we chizi
 
Na kama anakuaminisha amini nyie ni wezi na amini wananchi ni s3 pumbafff
 
Hivi wewe ndie mod aliyekuwa anafuta hoja against CCM? atleast we can clearly see your true colour! shame on you!!
 
Back
Top Bottom