Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

Tundu Lissu: "CUF ni CCM B!"

CHADEMA kwa sasa imeishiwa sera inaishi kwa siasa za maji taka, wameishiwa sera wameng'ang'ania kumjadili ZITTO na ACT yake. Si mlisema CHADEMA haiwezi kutetereka ZITTO akiondoka sasa hii hofu inayoanza tena ni ya nini? Kila siku gazeti la Mawio na Kubenea kazi yake ni moja tu kumshambulia Zitto na habari za uzushi.

Uwongo mkubwa kabisa unaowahusu CHADEMA dhidi ya Zitto ni habari yakaribuni iliyoadikwa na Kubenea kuwa Zitto amemchongea Mengi kwa Raisi na alihosahau Kubenea ni kuwa wakati PAC wanawasilisha ripoti ya ESCROW bungeni Raisi alikuwa Marekani akitibiwa tezi dume!!!!! Namshangaa mbunge wa CHADEMA aliyesema Nyerere alizoea kuishi kwa udanganyifu lakini huu wa CHADEMA hauoni, tena yeye huyohuyo ndie aliyesema CUF ni CCM B na leo wako pamoja!!!
 
Back
Top Bottom