Lyimo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,826
- 2,023
Watanzania tupo 45 milion, kati yao waiga kura ni kama 20 milion plus or minus. CCM inasimamia itikadi yake ambayo siyo chimbuko la matakwa ya wananchi wa Tanzania. Kumbuka CCM in idadi ya wanachama 4 milion, na ni wananchi ndiyo tunaamua ushindi wa wagombea. Sasa kama ukawa watajikusanyia wananchi wengi zaidi ya hao milioni 4, unafikiri kitatokea nini?? Bado ni ngumu kujitabiria mambo, na ndiyo maana unaona propaganda za kuvigawa vyama na wananchi zinatengenezwa kwa ufasaha kila kukicha.