Namnukuu Hamad Rashid wakati akiwa (KUB) anasema wakiwa bungeni mbunge wa Moshi mjini Philemon Ndesamburo aliniuliza hichi chama chenu cha CUF mbona kimekaa kiislamu?Hamna hoja mmebaki kujamba tu hapa,
Najua ccm inawauma vyama vya upinzan kuungana, wao walikuwa wanavifitinisha vyama vya upinzani.
Vile vilivyokuwa na nguvu,
Ccm walieneza propaganda cuf ni chama cha kiislam na chadema ni chama cha kikisto sasa ili mdhihirishe chadema si chama cha kikiristo na Cuf si cha waislaam wameungana kuwa kitu kimoja,
Ccm walihubiri ukabili na udin ccm ndo waratibu wakubwa,
Kikwete kaingia madarakan kwasababu ya kuwapandikiza udini na ukabila,
Hv sasa tuona wanahaha kutembea makanisan kama lukuvu,
Safar hii mtataga,
Mlikuja na tindikal mkashindwa mkaja na udini mmeshindwa sasa ni makanisan pia mtashindwa kilichobaki kwa sasa ni nyie kwa nyie kuchinjana na mm naomba iwe hivyo piganen chinjanen pumbafu kbs
Nimeleta mada ili kujua kinachoendelea sasa hivi ni UNAFIKI au ni kututakia mema watanganyika na wazanzibar.Mleta mada anatakiwa kuelewa kuwa,katika Siasa hamna adui wa maisha.Nape na uropakaji wake,anaweza kuondoka CCM na kujiunga na chama kingine chochote cha upinzani.Kinachobishaniwa ni mitizamo ya kiitikadi,na sio tofauti za watu au vitu.Hivyo,unatakiwa pia na wewe ubadilike.
Namnukuu Hamad Rashid wakati akiwa (KUB) anasema wakiwa bungeni mbunge wa Moshi mjini Philemon Ndesamburo aliniuliza hichi chama chenu cha CUF mbona kimekaa kiislamu?
Leo hii hawa hawa wafuasi wa Chadema wanasema chama cha ACT ni chama cha kiislamu kisa nyota mara chama cha watu wa Kigoma hapo nani muanzilishi/muendelezaji wa udini na ukabila?
Haya yote ni ccm walikuwa wakiwachonganisha ili vyama vya upinzan ukosane mengi tuliona,
Ila viongoz wa ukawa kwa sada wameuonga na wameza kusimama kwa pamoja ili kutetea rasilimali za nchi ambazo zinaporwa na hao mafisadi wa ccm,
Mambo yote wameyaacha waliacha posho na vitu vingitu,
Kikwete aliingia misikitin akawaambia waisla wakimchagua watapewa mahaka ya kadhi ikowapi mpaka leo hii?
Taifa limefilisika linadiawa yote hayo ni ccm,
Xo vyama vya upinzan viamua kuweka tofaut yao na kuungana kutetea maslah ya watanzania wote kwa ujmla mkuu""
cuf ni ccm b, chadema ni ccm b(i)
CCM ni chama makini kwani Hoja za UDINI, UKABILA, UKANDA mmeziweka kando - sasa mmekuja na hii mpya kabisa ya CDM je ni CCM-B baada ya kuwa ndani ya umoja wa katiba ya watanzania unaowajumuisha CUF.
safi sana chama tawala, ila je wananchi wataendelea kuwaelewa tu?
Hata Lipumba aliingia msikitini au leo aliyoyazungumza pale msikitini mumeyasahau?
Ukawaaa hamtoweza kuiondoa CCM madarakani ni ndoto