note politians have no permanent friendship but they have permanent interest...... upo hapoTuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!
Kwani serikali ya Umoja wa Kitaifa kule ZNZ imekufa? Serikali hii ya umoja wa kitaifa bado ipo, na ni hii serikali ya umoja wa kitaifa ndiyo iliunda ndoa ya CUF na CCM na hatimae CUF kuwa CCM B!Jibu moja kwa maswali yote.... CUF waliungana na ninyi walipowaamini, sasa Imani imetoweka.
Niwakumbushe Historia.
Mwaka 1979 katika Vita ya Uganda, Gadaffi aliisaidia Uganda kutushambulia kwa kuipatia vifaa. Nyerere akamchukia na wote tukaungana na Nyerere katika hilo.
Mwaka 2009 kuelekea miaka 10 bila mwalimu, mama Maria Nyerere akatuambia kule butiama kwamba Nyerere alimuomba Gadaffi fedha za kujengea shule mwaka 1996, Gadaffi akaleta za kujengea Msikiti uliopo butiama hadi leo.
Hii inaonesha katika mambo ya kukubaliana kupingana na adui tunaungana. Kama tunaaminiana tutalingana.
Unataka majibu matatu?
Rudia jibu hilo mara tatu uone kama halifai
Hivi wewe ndie mod aliyekuwa anafuta hoja against CCM? atleast we can clearly see your true colour! shame on you!!
Tuliaminishwa na of course mimi niliamini kwa dhati kuwa CUF ni CCM B! Aliyenifanya niamini hivyo si mwingine ni mwanasiasa machachari na "mwanasheria nguli" Tundu Lissu!
Kwa kudhihirisha hilo CHADEMA ilikataa kabisa kata kata kuungana na CUF ili kuunda Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni!
Hata hivyo, hivi karibuni CUF kimeshikamana na CHADEMA wakiiponda CCM eti kupanga maandamano na mikutano ya hadhara kwa pamoja! Kweli hii ni ajabu sana!
Hebu tujiulize maswali yafuatayo:
1. Je, tuhuma za u-CCM B za CUF zilikuwa za kweli?
2. Kama zilikuwa za kweli, Je, kwa sasa CUF imeshakuwa "mtoto mzuri" na hatarudia tena utukutu wake?
3. Kama zilikuwa si za kweli, kuna sababu yoyote ya kuendelea kuiamini CDM?
4.......
Karibuni kwa mjadala, matusi, kejeli, nk si mahala pake, hata kama hatutakubaliana kila kitu, tuheshimiane!
Wakuu msisumbuke na huyu Buchanan cz mi namjua id yake nyingine ni #buchanagandi ni jamaa fulani mweusi kama mkaa nywele zake zimenyonyoka kwasababu ya gongo!
ndugu wanaweza kugombana hata wasisemezane lakini ukaja msiba wakaungana na undugu ukarudi upya! kuna msemo pia unaosema "ndugu wakigombana shika jembe ukalime wakipatana shika kapu ukavune" Watanzania ni ndugu na ni wamoja ikitokea akaja adui akavamia nchi yetu vyama vyote vitakuwa pamoja!
Kwa hiyo CUF imeacha kuwa CCM B au haijawahi kabisa kuwa CCM B, na CHADEMA waliruongopea juu ya hilo?