Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 24,926
- 33,513
Mkuu! Nikikuonyaga humu kwamba Lisu wenu hatapata zaidi ya 20% na nikakupa sababu.Nimecheka kwa nguvu, eti kashapigwa kwenye box la kura. Ni hivi, hilo utatamani maisha yako yote lakini haitakaa itokee. Sana sana itabidi Tiss, polisi, nk ndio wawe wanawezesha ccm kutangazwa washindi. Kilichofanyika kwenye box la kura wote tumekiona, imedhihirika ccm haina uwezo tena wa kushinda kwa kura halali za wananchi. Imeisha hiyo.
Nikaiona hapa unajipinda kusema ule ulikuwa aiyo uchgauzi bali uchafuzi na huku umeshiriki mwanzo mpka mwisho, nakuona hujielewi, na huna tofauti na mleta mada au member mwingine wa humu anaeitwa mmawia