Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: CHADEMA na ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya Uchaguzi wala kushiriki kwenye Bunge

Gharama gani?

Kwani hao watoto ndugu jamaa na marafiki zako wanaoteseka kwa ugumu wa maisha sio gharama?
unataka letewa chakula watoto wako wale...shauri yako hata huko kwa mabeberu usipokula utakufa njaa na wanao watageuzwa mashoga..acha laumu watu walipambana wakabarikiwa wakatoboa...fanya kaziii
 
Leo Kabudi kapata vidonge vyake , majizi ya kura na wauaji eti wanalinda heshima ? Heshima ya kuiba kura ? Heshima ya kuua raia wasio na hatia ?.
 
unataka letewa chakula watoto wako wale...shauri yako hata huko kwa mabeberu usipokula utakufa njaa na wanao watageuzwa mashoga..acha laumu watu walipambana wakabarikiwa wakatoboa...fanya kaziii

1. Unaelewa majukum ya serikalini?
 
1. Unaelewa majukum ya serikalini?
Unayajua majukumu yako kwa Serikali? acha kulialia we ndo Serikali “Ask not what your country can do for youask what you can do for your country-John F. Kennedy..unataka Tundu Lissu ndo akuletee msosi
 
unayajua majukumu yako kwa serikali? acha kulialia we ndo serikali “Ask not what your country can do for youask what you can do for your country-John F. Kennedy..unataka Tundu lissu ndo akuletee msosi
Mkiambiwa Vilaza mnabisha

Unaelewa kazi za bunge.......
Kwanini tunatunga sheria?

Kwanini tunatunga sera na mikakati ya muda mrefu, mfupi no

1. Hebu nipe sera ya serikali kwa vijana hususani wanaomaliza vyuo.

2. Kwanini tunashindanisha sera za vyama vya siasa? Ili iweje kwa mpiga kura?
 
LISSU(Opening Remarks)

Lissu:
Chama chetu cha CHADEMA na chama dada cha ACT-Wazalendo tumekataa kuyatambua matokeo ya Uchugazi huu, tumekataa kushiriki kwenye Bunge au Serikali za mitaa kwani kufanya hivyo itakuwa kukubali utapeli huu wa demokrasia

Japokuwa kukata tamaa, kushusha ari na hasira inaeleweka kwenye mazingira haya, huu sio muda kwa wanachama, mashabiki na watu kwa ujumla kunyoosha mikono.

CCM na Magufuli hawajashinda Uchaguzi wowote pia si mimi wala CHADEMA tuliopoteza. Badala yake, mamilioni ya watanzania waliojazana kwenye vituo vya kupigia kura nchi nzima hawakuhesabiwa kura zao.

Samia Suluhu Hassan, aliwaambia wapiga kura kwenye mkutano wa kampeni kuelekea Oktoba 28 kwamba CCM itaongoza nchi bila kujali imepigiwa kura au La.

Kila mmoja wetu, Viongozi wa Chama, Wagombea, timu za kampeni tumepigania vita nzuri na tumepigana vizuri. Tumekumbana na kuzipita changamoto wakati wa kampeni. Tumepigana na adui mwenye nguvu na rasilimali za kutosha, mwenye nyenzo na vifaa vyote vya Taifa.

MASWALI

BBC

  1. Kwa Tundu umeiomba jumuiya ya kimataifa kuiwekea vikwazo serikali, kufungua kesi ICC na mengineyo. Nadhani umemsikia waziri wa mambo ya nje ya Tanzania kwamba watachagua heshima na misimamo ambayo hawako tayari kuivunja. Umechagua njia hiyo lakini wako tayari kujilinda kama waziri Kabudi alivyosema
  2. Kwa Zitto, wewe ni kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo na mpaka sasa bado mmekataa matokeo, tunajua Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ameandika barua kwa chama chako kuunda baraza au serikali ya umoja wa kitaifa na chama chako kimesema kimepokea barua na kinafanya mkutano wa ndani. Kama mnakataa matokeo kwanini mmepokea barua na kitu gani mnaenda kuzungumza?
Emmanuel (Radio France International)
  1. Swali langu kwa Tundu Lissu, umesema mapambano hayajaisha na umeondoka kwenye nchi yako, umewaacha mashabiki wako wakishangaa kama mapambano bado yanaendelea au yameisha!
  2. Kwa Zitto, wewe bado upo nchini, kabla Lissu hajaondoka mliita maandamano ambayo hayakufanyika, ni upi mpango ujao kwenye mapambano?
CHRISTOPHER KIDANKA (The East African Newspaper)
  1. Swali hili linaenda kwa wote, tunajua watu wa Tanzania hawajawahi kuitikia wito wa maandamano tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, mnalichukulia hili kama wananchi hawako tayari kujiunga kwenye mapambano labda kutumia muda wao na vitu vyote ni kama uko peke yako, mnalichukuliaje hili?

MAJIBU

TUNDU LISSU:
Yote ni maswali mazuri sana, ntaanza na wa BBC kuhusu taarifa ya Prf. Palamagamba Kabudi kwamba utawala wa Magufuli umechagua heshima, wale wanaoua wananchi wasio na hatia, wanaotumia vyombo vya ulinzi na utawala kuiba uchaguzi, wanaovunja haki za binadamu na uhalifu dhidi ya binadamu hawana heshima ya kupigania au kulinda



Wote Mnakaribishwa .

Mkuu Erythrocyte (Any cells that carry oyxgen around the blood system) a red blood cell, which (in humans) is typically a biconcave disc without a nucleus. Erythrocytes contain the pigment haemoglobin, which imparts the red colour to blood, and transport oxygen and carbon dioxide to and from the tissues.

Baada ya kutoa tafsiri ya kitalaamu ya utambulisho wako jukwaa lingetarajia kubeba sifa hiyo

To be precise you are wasting your precious time and resources to pose as a mouthpiece advocating a man of blasphemy. And to get it right the route you are taking is too narrow for you to walk over to the other side dof the alleyed river.

Both Hon. Seif & Jussa at different occasion responded in an interview that they are still considering the Isles revolutionary government invitation to form a GNU as prescribed in the Zanzibar constitution, so why is he emerging to speak out something tasteless to amicable leadership agreement?

It is of no doubt you are being financed to sooth the desperate expectations of the radical enthusiastic political supporters who might have been brainwashed to chant the impossible.
 
unayajua majukumu yako kwa serikali? acha kulialia we ndo serikali “Ask not what your country can do for youask what you can do for your country-John F. Kennedy..unataka Tundu lissu ndo akuletee msosi

Utatapika damu dogo, hii ni ligi ya wagumu. Shusha munkari maana hakukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Gharama gani?

Kwani hao watoto ndugu jamaa na marafiki zako wanaoteseka kwa ugumu wa maisha sio gharama?
Kwahiyo unawaongezea gharama kwa kuwa tayari unaona kuwa wanateseka? Unataka wateseke zaidi umfuraie bwana wako mzungu?
 
Zitto anajua anchokifanya...(mission yake ya tangu UKAWA), Lissu kama kawaida yake hypermania ama anajua au hajui kuwa yupo anatumiwa na Zitto!
CHADEMA shtukeni Lissu anaua saccos yenu hivyo! ACT- Wazalendo chama dada cha CHADEMA....Machozi ya mamba!
 
Usipende kupata wewe tu bali achia na wenzako kuna Wabunge wa viti maalum wapeni haki yao mnaogopa watahamia CCM? Mpaka sasa nyinyi ni wenzetu
 
Nasema hivi, ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura fullstop.
Unajua leo....ah ah ndo tulichopanga ..vp kesi ya Amsterdam na ze Hague mmefikia wapi..maana nasikia mzee wa system maalim anataka awaingize chaka kama kawaida yenu ah ah ah
 
unajua leo....ah ah ndo tulichopanga ..vp kesi ya amstedamu na ze hague mmefikia wapi..maana nasikia mzee wa system maalim anataka awaingize chaka kama kawaida yenu ah ah ah

Mbona hujasema bado, leo utasema yote, imeisha hiyo.
 
Kama huu ndio msimamo uliotokana na maamuzi ya vikao vya chama, yule Mbunge aliyepo Bungeni lini atakoma kuingia kule kama Mbunge na mwanachama wa CHADEMA?

Hii kitu inaweza kwenda kuleta mtafaruku mkubwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom