Unaweza kurejea kwenye mjadala wa jana hapa chini juu ya kifo cha Kassim Hanga
Yamemkuta Lissu: Kushtakiwa na mtoto wa Hanga kwa udanganyifu!
WanaJF,
Mtoto wa aliyekuwa mwasisi wa mapinduzi ya Zanzibar, bwana Juma Abdallah Hanga, ameamua kuchukua maamuzi magumu ya kumpeleka Tundu Lissu mahakamani kufuatia kauli za mwanasheria huyo wa CHADEMA kuwa za uongo, uchochezi na udanganyifu.
Mtoto huyo wa kwanza wa hayati Hanga, ambae pia ni mwanachama wa CCM, amesema baba yake alifariki kifo cha kawaida na kuzikwa kwa kufuata taratibu zote za dini ya kiislamu kwenye makaburi ya familia. Kwa maana hiyo maneno ya mwanasiasa Tundu Lissu kuhusu chanzo cha kifo cha baba yake ni ya kuokoteza na hayana ukweli wowote. Aliliambia gazeti la Zanzibar Leo.
Pia Juma Hanga amesema amepanga kwenda mahakamani kumshtaki mwanasiasa Tundu Lissu kwa upotoshaji wake kwa umma juu ya kifo cha baba yake kwa kuwa ana amini akiacha maneno hayo ya uongo yaendelee kusemwa yanaweza kuzua uchochezi utakao vuruga amani.
My take,
Ni wakati sasa kwa Lissu kuandaa ushahidi wake juu ya kauli yake ya kuuwawa kwa mwasisi huyo na kuonyesha kaburi hilo la pamoja analodai mwanasiasa huyo pamoja na wenzake wamezikwa. Hili suala halitaki porojo.
Mkuu mbona hapo umenigeuza mawazo tena? Hilo nilikuwa sijaliona kabisa. Kumbe kwenye hili anatuzuga? Haya tuendelee na yetuBak, nisome hapo juu. Huyu Mjane yeye hasira zake ni Nyerere na Karume kuuwa Waarabu, basi.
Akipita aone Muaraabu anampiga mwanao wa miaka 8, ndiyo kwanza atatafuta fimbo aje amuongezee kipigo.
Tupigane kivyetu bila ya kumuhusisha huyu Kikongwe class mate wake Jaji Warioba.
MwanaDiwani,
Mbona hujagusia hoja za akina Kassim Hanga na wenzake aliowataja Tundu Lissu kwa majina? wako wapi?
Sijaona hizo hoja zinazowahusu akina Kassim Hanga kujibiwa, Jee, ni kweli waliuliwa na kuzikwa kwenye handaki moja na Nyerere na Karume?
Itakuwa ni kutetea maovu kama CCM na Serikali haijajibu hoja hizo na kuusema ukweli. Hazifai kupuuzwa hata kidogo.
Kumbuka kuwa hapa hatuongelei "proof", tunaongelea hoja ya watu waliosemekana wamepotezwa kwa kuupinga muungano wa Nyerere na Karume kwa namna moja au nyingine.
Hili suala si jepesi kama unavyolichukulia, na hizi ndio baadhi ya kero kuu za Muungano, wanaoongelewa ni watu na si vitu.
Serikali inatakiwa ije na majibu ya kuridhisha wananchi na si kuja na maswali mbadala. Kama walikufa walipokuwa chini ya mikono ya Serikali inabidi serikali ieleze na walipozikwa ni wapi na kwanini waliwekwa kizuizini.
Hapa unacheza na maneno, na hujaja na jibu.
Tunachotaka ni majibu, jee, walikufa kweli wakiwa mikononi mwa Serikali ya Nyerere na au Karume? Jee, walifungwa kwanini kama jibu la kwanza ni ndio. Jee, kama walizikwa kisheria ya dini zao, walizikwa wapi, kwani Tundu Lissu kasema bungeni na hakuna mpaka sasa kauli iliyotoka kujibu shutuma za hawa watu.
Tundu Lissu hakusimama pale bungeni na hoja yake binafsi, Tundu Lisssu alikuwa anaongea hoja za wapinzani. Serikali kukaa kimya kwa hili inatutia mashaka sisi wananchi.
Na hapa naona wewe unakuja kucheza na maneno, inaonesha ni vipi ulivyo na kejeli katika kuonegelea masuala ya binaadam ambao wengi tumesikia juzi bungeni maafa yaliowakuta wakiwa mikononi mwa Serikali. Wala hatukusikia pale bungeni mbunge yeyote akisema Lissu athibitishe aliyoyasema la sivyo afute kauli zake kuwa ni uongo, hatujaona hayo.
Nakushauri amma njoo na majibu ya hayo ki staha na utaarabu amma sema huna majibu, lakini kutetea uovu ni laana kubwa kuliko mfano.
Hakuna ulevi mbaya kama ulevi wa madaraka, na hapa unaongea kama mtu aliyelewa madaraka.
Hakuna siri Nyerere na Karume ndiyo waliomua Kassim Hanga.
Kwani kina John Okello waliowakomboa waZanzibari walikuwa Watanzania?Kwani Dedan Kimathi naye alikuwa Mtanzania?
Kwahiyo Dedan Kimathi aliwakomboa wa Zanzibari?Kwani kina John Okello waliowakomboa waZanzibari walikuwa Watanzania?
Msimuvibishe KICHWA bure huyu FaizaFoxy! Yeye kila kitu huwa anakiangalia kwa JICHO LA UDINI. Ukitaka kumjua FaizaFoxy is hopeless, mwambie kwamba Kassimu Hanga (mwislamu) aliuliwa na Karume (mwislamu) na wala sio Nyerere (Mkiristu) which is an open truth anyway!
Sijaona hizo hoja zinazowahusu akina Kassim Hanga kujibiwa, Jee, ni kweli waliuliwa na kuzikwa kwenye handaki moja na Nyerere na Karume?
Itakuwa ni kutetea maovu kama CCM na Serikali haijajibu hoja hizo na kuusema ukweli. Hazifai kupuuzwa hata kidogo.
Ndugu, unayecheza na maneno ni wewe kwa sababu unajenga hoja za kisiasa. Sheria hazina siasa na katika sheria, proof ndiyo kielelezo ambacho ndiyo mwanzo na mwisho. Nimekuambia ulete proof.Hapa unacheza na maneno, na hujaja na jibu.
Tunachotaka ni majibu, jee, walikufa kweli wakiwa mikononi mwa Serikali ya Nyerere na au Karume? Jee, walifungwa kwanini kama jibu la kwanza ni ndio. Jee, kama walizikwa kisheria ya dini zao, walizikwa wapi, kwani Tundu Lissu kasema bungeni na hakuna mpaka sasa kauli iliyotoka kujibu shutuma za hawa watu.
Tundu Lissu hakusimama pale bungeni na hoja yake binafsi, Tundu Lisssu alikuwa anaongea hoja za wapinzani. Serikali kukaa kimya kwa hili inatutia mashaka sisi wananchi.
Na hapa naona wewe unakuja kucheza na maneno, inaonesha ni vipi ulivyo na kejeli katika kuonegelea masuala ya binaadam ambao wengi tumesikia juzi bungeni maafa yaliowakuta wakiwa mikononi mwa Serikali. Wala hatukusikia pale bungeni mbunge yeyote akisema Lissu athibitishe aliyoyasema la sivyo afute kauli zake kuwa ni uongo, hatujaona hayo.
Nakushauri amma njoo na majibu ya hayo ki staha na utaarabu amma sema huna majibu, lakini kutetea uovu ni laana kubwa kuliko mfano.
Hakuna ulevi mbaya kama ulevi wa madaraka, na hapa unaongea kama mtu aliyelewa madaraka.
Nakushaurim amma njoo na majibu ya hayo ki staha na utaarabu amma sema huna majibu, lakini kutetea uovu ni laana kubwa kuliko mfa
kuna kabila nyibgi TZ hawajawahi kutoa rais wala waziri mkuu Zanzibar wamepata hiyo nafasi hii sio hoja wana siasa wanakuongopea na wewe unakurupuka tu
Ndugu, Wewe hufahamu hata unachokisema achilia mbali msimamo wako.Mama FaizaFoxy
MwanaDiwani ni njaa,ujinga,unafiq ndo vinamsumbua.
Huyo ni sawa na yule mtoto wa Hanga aliyekurupuka na kudai kumpeleka Lissu Mahakaman.
Mkuu FaizaFoxy ni a Black widow wa Alshabaab, kuwa Makini ni Mwana Mama Hatare sana
cc dudus
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...pindi-cha-uzalendo-itv-leo-saa-1-usiku-2.html
Ndugu, Wewe hufahamu hata unachokisema achilia mbali msimamo wako.
Hakuna mtu hatari katika dunia inayochagizwa maono kama kuwa na blind follower kama wewe.
Katika fikra na mtazamo wako, siyo siku nyingi ulituambia FaizaFoxy alikuwa Black widow wa Alshabaab, leo unataka kutueleza amekuwa enlightened.
Misimamo yako inatuasa tukupuuze!.
Tundu Lisu ni Kichaa, mwendawazimu, Zimwi, Shetani, baladhuri, Kenge, gaidi, ibilisi, Lucifa, Jambazi la kisiasa, mzee wa gubu, mbw mwitu.