dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,232
- 57,704
Kwani kisomo sharti kisomwe lini?Haifanyiki wakati wa Kampeni
Kwani kisomo sharti kisomwe lini?Haifanyiki wakati wa Kampeni
Marehemu Bilago alikuwa Mbunge makini sana.Mgombea Urais wa Chadema leo ameingia Buyungu na kwenda kwenye kaburi la Hayati Mwl Bilago aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya chadema na kuomba dua ambayo ilikuwa maalum kwa ajili marehemu huyo mpiganaji na kamanda aliyetangulia mbele za haki.
View attachment 1575507
Na ndiye aliyekuwa mbunge pekee ambaye nilimsikia kwa masikio yangu anawatetea walimu kwa dhati bungeni kuliko kiongozi yeyote niliyewahi kumskia, Mungu ampe pumziko la amaniMarehemu Bilago alikuwa Mbunge makini sana.
Hizi akili mnazokabidhi Lumumba wawe wanawapa hata weekend mnazirudisha jumatatu. Wakati Mwalimu Bilago anafariki Lissu hakuwepo nchini kwa sababu mlizomsababishia nyie wenyewe. Sasa kwenda kuona kaburi la mpiganaji mwenzie ndo kutafuta umaarufu? Unakumbuka CCM mlivyojipendekeza kwenye msiba wa Bilago? Sisi tunajua thamani ya MWL Bilago nyie kaeni kimya, huyu ndiye mbunge wa kwanza kupinga kikokotoo cha Magufuli na genge lake!Mungu amlaze pema peponi mwalimu Bilago.
Tundu Lisu amuache mwalimu apumzike kwa amani, aache kumtumia kisiasa kwani siyo uafrika
AminaNa ndiye aliyekuwa mbunge pekee ambaye nilimsikia kwa masikio yangu anawatetea walimu kwa dhati bungeni kuliko kiongozi yeyote niliyewahi kumskia, Mungu ampe pumziko la amani
Ukweli mtupuHizi akili mnazokabidhi Lumumba wawe wanawapa hata weekend mnazirudisha jumatatu. Wakati Mwalimu Bilago anafariki Lissu hakuwepo nchini kwa sababu mlizomsababishia nyie wenyewe. Sasa kwenda kuona kaburi la mpiganaji mwenzie ndo kutafuta umaarufu? Unakumbuka CCM mlivyojipendekeza kwenye msiba wa Bilago? Sisi tunajua thamani ya MWL Bilago nyie kaeni kimya, huyu ndiye mbunge wa kwanza kupinga kikokotoo cha Magufuli na genge lake!