Tundu Lissu atakiwa kuripoti mahakama ya Kisutu Desemba 3, 2020

Jamani hebu tuwe wakweli hata japo kdg tumuaibishe shetani, hivi Lissu atishiwe maisha kwa kipi hasa? Maana sasa ni raia tu wa kawaida, aache kujishaua, aende mahakamani, vinginevyo anaogopa kesi
Mkuu mtu kua raia wa kawaida haimuondolei umaharufu wake ndani ya jamii, kwa mfano lissu unamchukuliaje ,achana nae kabisa leo dunia inamjua lissu ni nani we utakataa ukweli huu kwa lipi
 
Dunia ya Amsterdam labda, kwangu Mimi namwona ni"Mnyampaa" tu
 
Kwa vi
Lissu hawezi kuogopa kesi za kitoto kama hizo.

Nadhani hii taarifa imekuja muda huu "purposely" kwa lengo maalum, ili kuaminisha watu Lissu anaogopa kesi, kwasababu ya ile taarifa iliyosambaa muda mfupi uliopita kuhusu kutishiwa usalama wake hadi kutafuta hifadhi ubalozi wa Ujerumani.
Kwa vile hutumii akili yako nali ya makalik yako unaona kuwa ni kesi ya kutengenezwa, tundu lisu alipofika alitakiwa afike mahakamani,
Kukatengenezwa visababu na kufanya kesi iahilishwe, baadae ikatajwa wakati akiwa kwenye kura za maoni kama sijakosea, baada ya hapo wakai ahirisha mpaka amalize uchaguzi.
Na sasa uchaguzi umeisha hivyo anatakiwa amalizane na kesi kisha asepe ili awe huru,na kama atashindwa basi segelea inamsubili.
 
Mkuu mtu kua raia wa kawaida haimuondolei umaharufu wake ndani ya jamii, kwa mfano lissu unamchukuliaje ,achana nae kabisa leo dunia inamjua lissu ni nani we utakataa ukweli huu kwa lipi
Huko dunianai wakisha mjua ndio wanafuta makosa yake?
Au anakuwa juu ya sheria?
Amalizane na kesi zake kisha asepe,
Huyo kisha kuwa na mapungufu na ndio maana walimkosa kosa kumpima mkojo.
 
Kwa hiyo Ubalozi wa Ujerumani ndo ameona ndugu zake?
Kwa nini hakwenda ubalozi wa kenya ambao alishasema ana damu ya huko,
Anapenda sana beberu huyo, amekuwa addicted na mambo yao.
 
Huko dunianai wakisha mjua ndio wanafuta makosa yake?
Au anakuwa juu ya sheria?
Amalizane na kesi zake kisha asepe,
Huyo kisha kuwa na mapungufu na ndio maana walimkosa kosa kumpima mkojo.
Leo tulitumia wanautafit huru tz kutafuta mtu maharufu tz ,kisiasa ,mziki, n.k namber moja ni lissu, najua utakataa ila ndo hivyo.
Mbili seif mahalm nalo utakataa ,tatu ni zitto nalo utaona chungu, Kama kweli unafikili sio kweli fanyeni utafiti,
Mwisho
Kesi zenye mlengo wa kisiasa lazima kufutwa,maana kitaswla nje ya Tanzania inaaalibu zaidi,nalo utakataa maana nakujua Kama jirani yangu unapenda kusifu hata pale pasipo stahili
 
Kwa hiyo ubalozi wa ujerumani ndo ameona ndugu zake?
Kwa nini hakwenda ubalozi wa kenya ambao alishasema ana damu ya huko,
Anapenda sana beberu huyo, amekuwa addicted na mambo yao.
Ulipenda aje kwako, lissu ni tunu ya taifa ni ushabiki tu ndo watusumbua ,lissu ni hazina chache katika ulimwengu huu, taifa bado lamhitaji Sana,so Kama kapokea tahadhali ya taa nyekundu lazima afanye alichokifanya,niwapongeze washauri wake, kwamba yuko tz ila yuko ujeruman nchi ya watu ,Sasa nenda ukalete fujo et wanatafuta lissu nchi ya watu ndani ya dar maana yake umevamia nchi ya watu ndani ya nchi yako ,lissu ni shida
 
Jamani hebu tuwe wakweli hata japo kdg tumuaibishe shetani, hivi Lissu atishiwe maisha kwa kipi hasa? Maana sasa ni raia tu wa kawaida, aache kujishaua, aende mahakamani, vinginevyo anaogopa kesi

..ajipeleke mbele ya hakimu kada wa ccm? akifungwa atamlaumu nani?
 
Ulipenda aje kwako, lissu ni tunu ya taifa ni ushabiki tu ndo watusumbua ,lissu ni hazina chache katika ulimwengu huu, taifa bado lamhitaji Sana,so Kama kapokea tahadhali ya taa nyekundu lazima afanye alichokifanya,niwapongeze washauri wake, kwamba yuko tz ila yuko ujeruman nchi ya watu ,Sasa nenda ukalete fujo et wanatafuta lissu nchi ya watu ndani ya dar maana yake umevamia nchi ya watu ndani ya nchi yako ,lissu ni shida
Mtu anayejaribu kuirudisha nchi kwa wakoloni ww unasema ni mtu hadimu na tunu ya taifa!!!???
Aendelee kuishi huko ubalozini milele.
 
Kama haliogopi umande hilo dume la nyani mbona limekimbilia ubalozi wa ujermani??!!
Liambie lisirudi ubelgiji libaki Tanzania kukabiliana na kesi yake.
Tatizo umetumia maneno ambayo sio salama mkuu au sio ya kiheshima, punguzeni jaziba ,jibuni kwa staha, na kwa hoja ,
Kwa talifa hizo kesi kwa lissu ndogo mno mkileta shida wakili wake anaziamishia uholanzi tuone jeuri, maana lissu ana wakili so anaweza omba kesi isikilizwe uholanzi kwa vigezo atakavyo ina vinafaa maana mteja wake bado ana clinic nje ya nchi so iweza kugombwa , kuhama au kusubili mpa Mambo yake kiafya yakae sawa mpaka bahada ya miaka kumi
 
Lissu hawezi kuogopa kesi za kitoto kama hizo.

Nadhani hii taarifa imekuja muda huu "purposely" kwa lengo maalum, ili kuaminisha watu Lissu anaogopa kesi, kwasababu ya ile taarifa iliyosambaa muda mfupi uliopita kuhusu kutishiwa usalama wake hadi kutafuta hifadhi ubalozi wa Ujerumani.
Tarehe ngapi leo? Mnakula matapishi yenu tu sasa. Khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee walishidwa kina kuku itakuwa nyie?
 
Mkuu mtu kua raia wa kawaida haimuondolei umaharufu wake ndani ya jamii, kwa mfano lissu unamchukuliaje ,achana nae kabisa leo dunia inamjua lissu ni nani we utakataa ukweli huu kwa lipi
Tundu kwa umaarufu gani? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee itakuwa umaarufu wa mashoga.
 
Mtu anayejaribu kuirudisha nchi kwa wakoloni ww unasema ni mtu hadimu na tunu ya taifa!!!???
Aendelee kuishi huko ubalozini milele.
Da ila nyie, kwa tahalifa yako , sie bado wakoloni miaka mia ijayo,wabondei wa Tanga husema hatuna dodose, kwa lipi ulilo nalo mpa huseme hauko kwenye ukoloni?lipi unaamua wewe,lipi unapanga wewe, ngoja mpigwe vikwazo nione Kama mtayaongea haya,
China pamoja na uchumi ,bado bila mataifa mengine Mambo hayaendi sembuse tz, mbona mnakopa why msiache maana hamtaki ukoloni, mbona Bado mwavaa nguo za mtumba na viatu,mbona mwatulingishia used car from Japan why msinunue zero km, mbona mnapeleka watu mbali mbali kwao kupata ujuzi,
Yajibu yote haya ndo nikubali hamko chini ya mkoloni ,
 
Tatizo umetumia maneno ambayo sio salama mkuu au sio ya kiheshima, punguzeni jaziba ,jibuni kwa staha, na kwa hoja ,
Kwa talifa hizo kesi kwa lissu ndogo mno mkileta shida wakili wake anaziamishia uholanzi tuone jeuri, maana lissu ana wakili so anaweza omba kesi isikilizwe uholanzi kwa vigezo atakavyo ina vinafaa maana mteja wake bado ana clinic nje ya nchi so iweza kugombwa , kuhama au kusubili mpa Mambo yake kiafya yakae sawa mpaka bahada ya miaka kumi
Ndege mjanja hukimbiza ubawa wake.
Sina jazba hata kidogo kama unavyofikiria.
Kama kweli Lisu ana jeuri, kwann wakili wake ahamishie kesi uholanzi, wakati kosa kalifanyia Tanzania ?
Nadhani kuonyesha jeuri amchukue wakili wake aendelee kukabiliana na kesi yake hukohuko mahakama ya Tanzania.
 
Tundu kwa umaarufu gani? Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee itakuwa umaarufu wa mashoga.
Mkuu ni furahi kwa kicheko chako ,kimenikumbusha mgombea wa ccm alietoa ahadi ya kufunika mlima kilimanjaro kwa pazia na akawambia wajumbe wacheke kwa saut hahahahaaaaaaaa, Sasa mkuu kwa ajili ya ushabiki tu thuts unajitoa ufaham , kimoyo mpaka unakusuta,
 
Ndege mkanda hukimbiza ubawa wake.
Sina jazba hata kidogo kama unavyofikiria.
Kama kweli Lisu ana jeuri, kwann wakili wake ahamiahie kesi ubalozi wa ujermani??
Nadhani kuonyesha jeuri amchukue wakili wake aendelee kukabiliana na kesi yake huko mahakama ya Tanzania.
Lissu katishiwa uhai wake , kwamba watu wanapata tabu Sana, wakimsikia wanatamani jifukia uvungu wa kitanda,mbaya zaidi ni huyu mteule amewai miminiwa risasi kibao, so huamuzi alioufanya ni kwa asilimia mia uko sawa,
 
Da ila nyie, kwa tahalifa yako , sie bado wakoloni miaka mia ijayo,wabondei wa Tanga husema hatuna dodose, kwa lipi ulilo nalo mpa huseme hauko kwenye ukoloni?lipi unaamua wewe,lipi unapanga wewe, ngoja mpigwe vikwazo nione Kama mtayaongea haya,
China pamoja na uchumi ,bado bila mataifa mengine Mambo hayaendi sembuse tz, mbona mnakopa why msiache maana hamtaki ukoloni, mbona Bado mwavaa nguo za mtumba na viatu,mbona mwatulingishia used car from Japan why msinunue zero km, mbona mnapeleka watu mbali mbali kwao kupata ujuzi,
Yajibu yote haya ndo nikubali hamko chini ya mkoloni ,
Usichanganye mafaili hapa. Kwa taarifa yako hata nchi zilizoendelea mfano UK na USA wanachukua mikopo na wana madeni kama nchi, hata wazungu wanatumia magari yaliyotumika kutoka nchi mbalimbali, na ukae ukijua hata wazungu wanavaa mitumba na maduka ya nguo za mitumba yapo huko. Tembea uone, akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom