Tundu Lissu atakiwa kuripoti mahakama ya Kisutu Desemba 3, 2020

Ungekuwa Mtanzania usingeweza kuzungumza huu upuuzi uliyo uweka hapa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Usipende jitoa ufaham,upuuzi unajua wewe, au kisa umejaliwa matusi, kwa iyo hapo wewe binafsi unajiona umekamilika mpaka unatoa maneno ya maajabu hapa,eti upuuzi ! ,Ungekua mtz,we ni nani ucrush uraia wa mtu,
Hacha habari zako hapa,
 
Mkuu mtu kua raia wa kawaida haimuondolei umaharufu wake ndani ya jamii, kwa mfano lissu unamchukuliaje ,achana nae kabisa leo dunia inamjua lissu ni nani we utakataa ukweli huu kwa lipi
Dah...labda umaarufu wa usaliti...kuwa maarufu siyo lazima uifanyie jamii jambo jema...hata kuwa kituko unaweza kuwa maarufu....mbona Am Bar Uti naye ni maarufu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ukae ukijua hata wazungu wanavaa mitumba na maduka ya nguo za mitumba yapo huko. Tembea uone, akili za kuambiwa changanya na zako.
Umenikumbusha ! Umenikumbusha duka moja la mitumba Stuttgart nguo euro senti mbili! Nguo hizo hizo unapigwa elfu 50 posta mpya!!! Ukiwa pale, Unatamani, ubebe duka zima!! Maisha ni mbio kweli kweli!!!!
===
Ukweli ni kuwa hayo maduka ya namna hiyo unakuta yamejaaa wazungu "pure", yaani waasia na sisi anakua mmoja mmoja!
 
Umenikumbusha ! Umenikumbusha duka moja la mitumba Stuttgart nguo euro senti mbili! Nguo hizo hizo unapigwa elfu 50 posta mpya!!! Ukiwa pale, Unatamani, ubebe duka zima!! Maisha ni mbio kweli kweli!!!!
===
Ukweli ni kuwa hayo maduka ya namna hiyo unakuta yamejaaa wazungu "pure", yaani waasia na sisi anakua mmoja mmoja!
Nimegundua kuna baadhi ya watu wanaongea vitu ambavyo wanaangalia kwenye TV au mitandaoni tu bila kufanya utafiti wa kina na kupata uhalisia.
Nashukuru sana kwa kuongezea kwenye hoja yangu. Tuendelee kuwaelimisha wenzetu.
 
..Hii kesi itakuwaje?

..Au Tundu Lissu ana ticket ya kurejea nchini Dec 2, 2020?🤣
 
Hivyo ni vyesi vya Magufuli tu na anavilazimisha kwa sababu yeye ni Layman hajui sheria ila ubabe tu.

Yaani miaka 60 ya uhuru bado unaleta eti vyesi vya uchochezi ni kuonyesha ni kiasi gani ulivyo mbabe tu asiye na busara walau hata chembe.
 
Back
Top Bottom