Mmeme
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 700
- 298
Nawe hamia Somalia, nasikia kuna amani tele.Wa pili mimi.
Nawe hamia Somalia, nasikia kuna amani tele.Wa pili mimi.
Toa address yako ukionekana kuchelewa kuhama tukuhamishe kwa nguvu.Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana.
Ushindi wake umedhihiri kila ninapopita mtaani wanasema ni aheri Lissu anaweza kuleta amani kwenye nyoyo zao, wanasema aheri Lisu atawaletea maisha bora.
Wawatu wanafarijika sana sana kila wanapomuona mwana wa damu huyu aliyepitia majanga mazito ambayo alisema yanatokana na siasa zake.
Tundu Lissu anasema hivi;
1.Yeye siyo Lowassa
2.Akishinda atatangazwa
3.Yeye siyo Dr Slaa
4.Ameshinda umauti
5.Mungu sio Athumani
Hakika Lissu ameshinda tayari ila tu tunapaswa kulinda ushindi wetu la sivyo tutaibiwa mchana kweupe. Magu ameshaapa kushinda hata kama watu hawatampigia kura, hii ina maana kubwa sana.Kukutane baada ya tarehe 28)10/2020 tutapata majibu hapa hapa kwa sababu naamini Tundu Lissu atakua Rais wa nchi hii ingawa atatangazwa kwa taabu sana.