Tundu Lissu ashtakiwa

Tundu Lissu ni Mwanaharakati si Kiongozi hivyo msitegemee chochote Jimboni kwake.
Hana lolote huyo, alikua kazi kubomu Bia pale Babjo bar singida. Ashukuru mungu alipata ubunge lasivyo watu mangemtafuna kwa kupenda pombe ya bure.
 
"Tundulisu ashtakiwa na wapigakura wa kata ya ikungi kwa aliyekuwa mlezi wa mkoa wa singida ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa pwani mh Mwatumu Mahiza.kisa tangu achaguliwe hajatimiza ahadi hata moja kazi yake kubeba mafail" Angel Akilimal mtangazaji wa redio ya magamba (uhuru)- status yake ya leo hiyo kenye fb page yake.

Naona magamba sasa wameamua kuwashambulia wabunge wa CDM ambapo ndani ya mwaka mmoja wameanza kuwanyooshea vidole wakati wao nadani ya miaka 50 ya uhuru wameifilisi nchi kwa ufisadi na utawala mbovu wenye kuwagawa watz kwa makundi ya aliyo nacho na asiye nacho.

Hao sio wapiga kura wake! Wapigakura wake wanajua kuwa alishatimiza ahadi yake ya kufutilia mbali michango ya kihuni waliokuwa wanachangishwa kwa nguvu!
 
mlezi wa mkoa?? ndio nini hii?? can she help them anything? wapiga kura wa kata? wangapi? Magamba bhana,hawaishi vituko!!!
 
Mlezi hana mamlaka yoyote kwa wabunge wa mkoa husika na hakuna cheo kama hicho katika organisation structures za serikali yetu, huo ni utamaduni ndani ya sisiem kuwa na walezi ambao hawana tija kwa taifa hili kazi yao wakistaafu kuomba zawadi kwa waliokuwa wanawalea kitu ambacho hakiwasaidii wanaolelewa. Kama ahadi ni deni jk ilibidi ashitakiwe na ndugu zetu mahostadh kwa kuahidi na kusema hataweza kutekeleza ahadi yake wazi wazi. Pia kuna post hapo juu imeelezea ahadi alizozitekeleza mpaka sasa yaani ambulance nne, kusomesha watotn250 na kufuta michango.
 
ndio maana waliwatoa mavi huko Igunga.

Sema Hawa Ghasia,naona unaharisha tu hapa JF bila hata aibu,hivi watoto na mke wako wanajua mambo unayoyafanya humu JF au wakati unaandika unajificha chumbani....
 
Sema Hawa Ghasia,naona unaharisha tu hapa JF bila hata aibu,hivi watoto na mke wako wanajua mambo unayoyafanya humu JF au wakati unaandika unajificha chumbani....
Mbona unatapatapa na majina, amua moja basi.
 
Mbona unatapatapa na majina, amua moja basi.

Ok nisamehe mkuu hivi jina lako ni lipi kati ya haya,maana uwa nakuchanganya sana na Hawa Ghasia.....

  1. Lusinde
  2. Hawa Ghasia
  3. Vicky Kamata
  4. Celine Kombani
  5. Stephen Wasira
  6. Nnape Nnauye......
 
yote tuyasemayo, ni kuwafanya viongozi hawa wawe wajibikaji kwa wananchi walio waajiri. Kama tundu lisu hajarudi hata kusema aksanteni, na kuwa mikakati ya kuwakwamua, bado hajawatendea haki na wanaweza kuamua vinginevyo kumumwaga 2015.

kinachotakiwa tuwasihi hawa wabunge wetu, wasiakae mbali na wapiga kura, wawe na ewgular vist kwao, wakague shughuli za kimaendeleo, watoe miongozo ili wananchi waendelee kuwaamini na waone tofauti ya CCM na vyama vingine hasa CDM.

wanajf
Propaganda zingine ni za kupoteza muda. Waliomsmshitaki ni nani? Mtu makini ajihoji kabla ya kushabikia propaganda. Ulitegemea mafisadi wa ccm wangelifurahia walivyokabwa na Lisu? Kwa taarifa hata sasa hivi Lisu yuko jimboni kwake akitimza ahadi zake na ni mara nyingi kuwa jimboni tofauti na wengi wa ccm.
 
yote tuyasemayo, ni kuwafanya viongozi hawa wawe wajibikaji kwa wananchi walio waajiri. Kama tundu lisu hajarudi hata kusema aksanteni, na kuwa mikakati ya kuwakwamua, bado hajawatendea haki na wanaweza kuamua vinginevyo kumumwaga 2015.

kinachotakiwa tuwasihi hawa wabunge wetu, wasiakae mbali na wapiga kura, wawe na ewgular vist kwao, wakague shughuli za kimaendeleo, watoe miongozo ili wananchi waendelee kuwaamini na waone tofauti ya CCM na vyama vingine hasa CDM.

Kwa hiyo wa magamba wanapi waliorudi majimbon kwao kuwashukuru wapiga kura wao?hata mnara wa babel haujajengwa kwa siku moja!vp hawa watu wa singida?mbona hamueleweki!
 
Back
Top Bottom