Tundu Lissu ashiriki Ekaristi Takatifu Mikumi , akiwa safarini kuelekea Iringa kuomba kura

Ndio malengo ya lissu kwenda kuteka ibada ila watu wamejikausha km hawamjui

Misa imeisha anasubiri kupewa mkono na waumni waumini wakaondoka bila kuhangaika naye

Ulikuwepo kanisani kwa Askofu wako wa mivutu ?
 
Nikiangalia huo mguu wa Lissu na jinsi anavyotembea na kusimama huwa naumia sana!! Aliyefanya hivi kwa Lissu apate pigo kuu mwaka huu kwa Jina la Yesu!

Mungu ni NENO. Na NENO la Mungu ni hai na linatenda kusudi lake..m

Soma ZABURI YA 35 yote...
 
Back
Top Bottom