Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

Tundu Lissu arejee nyumbani Mara moja

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,554
Reaction score
57,850
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.
 
Natamani iwe hivyo... TAL ameshaonja ladha ya kifo sijui itakuaje.. Mungu amuongoze kwani kwa sasa tunahitaji kiongozi wa aina yake.
 
Naunga mkono. Warejee na sio walejee lakini.
Au chama kiunde kikosi maalum cha kuamsha harakati. Labda kiongozwe na Heche wakiwa na Sugu.
 
Warudi kuja kufanya nini wakati kama mkiambiwa muandamane hamuonekani?

Hizo aina ya siasa unazozitaka isipotumika akili ndio mtampa msajili nafasi ya bure kukifuta chama.

Hizi sarakasi zote za jaji kuamua shauri kwa kufuata "maoni yake" badala ya kuangalia sheria inasema nini ndio mipango yenyewe yakuwapandisha mori kama uliopandisha hapa, na ukirusha jiwe tu, Chadema itabaki historia.

Haya mambo ya serikali kwa Chadema ni kwenda nayo taratibu huku ikiangaliwa sheria inasema nini, uamuzi wowote wa kukurupuka toka kwa viongozi na wanachama wa Chadema utakwenda kutumiwa na msajili effectivelly.
 
Wewe jamaa nimekuwa nakufuatilia sana hivi karibuni,hakika Chadema wakifuata ushauri wako watafanya vizuri sana,kuna ushauri uliutoa hivi karibuni kuhusu Chadema kuto mtukana marehemu sijui kama walikuelewa,wasiungane na WANA-CCM wanaomtukana sasa hivi marehemu,marehemu ana wafuasi wengi sana ambao wanatamani sana mama Samia na timu msoga ashindwe wakiamini ndo waliohusika kumuua Magu,na hii kitu imejikita sana kwenye mioyo ya watu,Mama Samia kwa sehemu kubwa hakubaliki
 
Naunga mkono hoja!
Hapa tulipofikia, kuendesha chama kutokea nje ni counterproductive
Arudi, kama wanamfungulia kesi basi wamfungulie, lakini ni muhimu sana arudi nchini
 
Warudi kuja kufanya nini wakati kama mkiambiwa muandamane hamuonekani?

Hizo aina ya siasa unazozitaka isipotumika akili ndio mtampa msajili nafasi ya bure kukifuta chama.

Haya mambo yanavyokwenda mnakuwa provoked makusudi, mkirudisha tu wanakifuta chama.

Hizi sarakasi zote za jaji kuamua shauri kwa kufuata maoni yake badala ya kuangalia sheria inasema nini ndio mipango yenyewe yakuwapandisha mori kama uliopandisha hapa, na ukirusha jiwe tu, Chadema itabaki historia.

Haya mambo ya serikali kwa Chadema ni kwenda nayo taratibu huku ikiangaliwa sheria inasema nini, uamuzi wowote wa kukurupuka toka kwa viongozi na wanachama wa Chadema utakwenda kutumiwa na msajili effectivelly.
Bora wakifute kuliko kufa huku mnaona,kuna haja gani ya kuwa na usajili wakati mnafanyiwa figisu zote kuuliwa,Mkwawa na Milambo wangekubali ujinga kama huu leo tungekuwa kwenye mateso ya wazungu
 
Mwamba akirudi anamaliza mchezo..kwa Hali ilivo mtaani watu wamechoka...upinzani una nafasi wajiimarishe vizuri 2025 Ni yao
 
Wewe jamaa nimekuwa nakufuatilia sana hivi karibuni,hakika Chadema wakifuata ushauri wako watafanya vizuri sana,kuna ushauri uliutoa hivi karibuni kuhusu Chadema kuto mtukana marehemu sijui kama walikuelewa,wasiungane na WANA-CCM wanaomtukana sasa hivi marehemu,marehemu ana wafuasi wengi sana ambao wanatamani sana mama Samia na timu msoga ashindwe wakiamini ndo waliohusika kumuua Magu,na hii kitu imejikita sana kwenye mioyo ya watu,Mama Samia kwa sehemu kubwa hakubaliki
Ndio hivyo huwezi kutukana mtu ambaye hayupo

Hawezi kujitetea Tena

Ambaye ameshafuga kitabu chake hapa duniani

Ni kujitafutia laana tu katika siasa tunapambana na waliopo madarakani sio waliotoka au kufa.
 
Siku aliyopokelewa Lowassa na kumkaidi Dr Slaa ndio siku ambayo Chadema kama chama kilifikia peak yake. Hakiwezi kuinuka tena. Chadema unayoizungumzia mleta mada ni ile ya Dr Slaa na haitoweza kurudi tena.
Mlipoteza wapambanaji wengi sana ile siku.
 
Ni muda Sasa wa Tundu Lissu kurejea nyumbani no matter what.

Hata Kama akirudi wakamuua Hana Cha kupoteza Tena

Chadema haina kiongozi kwa Sasa Mnyika Ni kiongozi goigoi mno na siasa za kimbogo ambazo zimepitwa na wakati kwa utawala wa Sasa wa Ccm.

Chadema kinatakiwa kurejea na kuwaambia wanachama wake Hali halisi na wanachama watapakae kote vijijini kuimalishwa kwa chama kuelekea uchaguzi 2025.

Lissu akiendelea kukaa Ulaya hiki chama kinakufa kwa ujinga wa kuwaruhusu majasusi waendeshe chama.

Lazima chadema ya Harakati za ukweli irejee haraka Sana na kuanza siasa Kali za nguvu ya umma kuelekea uchaguzi 2025.

Pesa zipo watu wenye mapenzi na chama tutachanga Kama chama kitasimama na kutetea maisahi ya wanachi.

Hakuna Cha kuogopa kesi za kiuni Lema pia arudi nyumbani mapambano yaendelee wajenge chama mpaka vijijini wagawe kadi pesa zipatikane operation zote zifanyike.

Katiba mpya muda wa kuidai Ni Sasa na Hawa jamaa hawatakaa walete katiba kwakucheana chekeana .

Nashauri Lissu na Lema warejee Hawa ndio wanaweza kuongoza mapambano ya kudai katiba wakaeleweka.

Chadema kipo kwenye the point of no return kulia Lia sio lazima Tena Ni kufanya vitendo.

Kwa mfano unaandaa makongamano ya katiba kila kata Nchi nzima watawakamataje? Hata wakiwakamata kwa mfano kata ina wanachama 1000 wamekuja kwenye mkutano watawafunga wapi .

Lazima tubadilike huu utawala wa ccm wa Sasa sio watu wa kuwakenulia meno.

Andaa makongamano Nchi nzima kwa muda mmoja na yamalizike kwa muda mmoja.

Haya Mambo ya kuwaachia Bawacha na Bavicha chama sikubaliani hata kidogo.

Wengine tupo tayari kuchangia chama frequently pesa za operation za kila siku za movement za kudai katiba.

Ww unaweza kuyafanya hayo?
Hapo unaongea uko home umetulia na wife anapika nyama
 
Bora wakifute kuliko kufa huku mnaona,kuna haja gani ya kuwa na usajili wakati mnafanyiwa figisu zote kuuliwa,Mkwawa na Milambo wangekubali ujinga kama huu leo tungekuwa kwenye mateso ya wazungu
Kwa huu uzi wenu mnathibitisha Chadema ni Lissu, Mbowe, na Lema, hao wengine waliopo nchini kazi yao ni ipi?

Hizi hoja zenu hata sizielewi.
 
Siku aliyopokelewa Lowassa na kumkaidi Dr Slaa ndio siku ambayo Chadema kama chama kilifikia peak yake. Hakiwezi kuinuka tena. Chadema unayoizungumzia mleta mada ni ile ya Dr Slaa na haitoweza kurudi tena.
Mlipoteza wapambanaji wengi sana ile siku.

Sasa slaa alikuwa tayari anaondoka so ulitakaje ?
 
Lissu arudi au ajiuzulu umakamu mwenyekiti kama hawezi kurudi, chadema umelala, inashindwa kufanya Mambo ya msingi kisa mwenyekiti kakamatwa wakati jaji amesema kesi ikienda mfululizo unaweza kuchukua miezi minne
 
Ww unaweza kuyafanya hayo?
Hapo unaongea uko home umetulia na wife anapika nyama
Ndio nikakumbuka yale maandamano Lissu aliyataka baada ya uchaguzi mkuu uliopita, alijitokeza? au ni mihemko tu ya kushindwa kesi ndogo kwenye kesi ya Mbowe, hizi provocation za jamhuri zikiwakuta wenye mihemko kama hawa, Chadema itafutwa very soon.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom