Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,330
- 33,954
CCM kila mkilala mnamuota Tundu Lissu amewakamatia chini.Hakuna anaowatisha ila Tanzania inashangazwa na Vichwa chake kilivyo Debe tupu eti Mtu anakuibia halafu unasema
Mi simwambii wala siendi Popote atanishtaki kudadeki Kama mwanangu natandika Viboko tuu
View attachment 522026
Unaposema Tanzania inashangazwa unamaanisha nini? Yaani CCM ndiyo Tanzania?Hakuna anaowatisha ila Tanzania inashangazwa...
Sijawahi Kuona Mwanasheria Bogus kama Tobo Lissu!Unaposema Tanzania inashangazwa unamaanisha nini? Yaani CCM ndiyo Tanzania?
Namezeshwaje dawa. Yaani Lissu anachouliza ni jambo gani jipya liliopo kwenye hizo ripoti? Hajibiwi!!Tulia umezeshwe dawa Jumatatu.
Iwavyo vyovyote vile kama ni Tobo ama Tundu Lissu, hoja hapa ni wakati gani Lissu aliwahi kawatetea wezi wa Rasirimali zetu? Tatizo viongozi wa CCM roho huwa haziwaumi kwa kuwa fedha zinazotumika kulipa hizo fidia huwa hazitoki kwenye mifuko yao bali huwa zinatoka kwenye hazina ya nchi yetu inayojazwa na kodi toka kwa wananchi maskini!Sijawahi Kuona Mwanasheria Bogus kama Tobo Lissu!
Mlishakproga mtainywa wenyeweHakuna anaowatisha ila Tanzania inashangazwa na Vichwa chake kilivyo Debe tupu eti Mtu anakuibia halafu unasema
Mi simwambii wala siendi Popote atanishtaki kudadeki Kama mwanangu natandika Viboko tuu
View attachment 522026