Tundu Lissu ana wafuasi 75,000 tu huko Twitter?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,242
113,618
Yaani katika nchi inayosemwa kuwa ina watu takriban milioni 60. Na chama chake tunaambiwa kina wanachama kama milioni 5 au 6 hivi.

Pamoja na ‘umaarufu’ wake wote. Yaani huko Twitter ana wafuasi elfu 75 tu? Makamanda hamna smartphones nyie?

Capture.JPG
 
Magufuli followers wake wengi ni chadema kwasabb wanataka kujua ametoa boko gani wamkosoe

Followers wake wengine ni wakulima wa korosho wa kule kusini kwasabb walikuwa hawajalipwa tangu achukue korosho zao.

Wengine ni wale aliowatumbua wanamfuatilia kwa husuda.
 
Kwa kile ki inglishi unaachaje kum follow kwa mfano. Mimi mwenyewe nimemfollow ili nisipitiwe! Halafu tunamfollow ili akitoa kitu tunamkumbusha Mazila aliyotuletea yani tunamharia kila uharo then tunasepa zetu kuwasha location!
 
Yaani katika nchi inayosemwa kuwa ina watu takriban milioni 60....

Na chama chake tunaambiwa kina wanachama kama milioni 5 au 6 hivi....

Pamoja na ‘umaarufu’ wake wote....

Yaani huko Twitter ana wafuasi elfu 75 tu?

Makamanda hamna smartphones nyie?

View attachment 1526973
Kwani wajumbe wa Kigamboni hawana smart phone?😂😂😂😂😂utajua kuwa haujui
 
Back
Top Bottom