Unaelewa criteria Za kudiagnose schizophrenia?Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu ni rubbish, ila ya kwake tu ndiyo ina maana, sasa sijawahi kusikia Binadamu mwenye kuongea hivi, hasa anapoongelea mambo ambayo siyo fani yake, kama angehukumu hivyo kwenye mambo ya Sheria ambayo ndiyo eneo lake ningeeelewa lkn Kemia na Sheria ni wapi na wapi? Namuongelea Tundu Lisu, ana matatizo kichwani, ...
Ungeziweka mkuuUnaelewa criteria Za kudiagnose schizophrenia?
Poor you, Lissu is way way far more than your brain limit!
Ikiwa umebaini ana Matatizo KICHWANI, inawezekana pia alitatizwa na UCHAGUZI katika KIPI asomee....Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu ni rubbish, ila ya kwake tu ndiyo ina maana, sasa sijawahi kusikia Binadamu mwenye kuongea hivi, hasa anapoongelea mambo ambayo siyo fani yake, kama angehukumu hivyo kwenye mambo ya Sheria ambayo ndiyo eneo lake ningeeelewa lkn Kemia na Sheria ni wapi na wapi? Namuongelea Tundu Lisu, ana matatizo kichwani, ...
Equation kwako ndio nini? Unataka kuniambia huyo Prf Mruma ametumia equation katika ripoti yake?Huyu jamaa ni mmoja kati ya watu wa ajabu sijawahi kusikia, amesomea Sheria, hawezi hata kuandika equation moja rahisi kabisa ya Kemia, lkn anasema kazi ya Utafiti uliofanywa na Wanasayansi wetu ni rubbish, ila ya kwake tu ndiyo ina maana, sasa sijawahi kusikia Binadamu mwenye kuongea hivi, hasa anapoongelea mambo ambayo siyo fani yake, kama angehukumu hivyo kwenye mambo ya Sheria ambayo ndiyo eneo lake ningeeelewa lkn Kemia na Sheria ni wapi na wapi? Namuongelea Tundu Lisu, ana matatizo kichwani, ...
Research ni nini? I hope haujakariri.Mkuu mimi nilistuka kusikia kauli kama ile kwa mtu anayeitwa Msomi (wakili msomi). Research hupingwa kwa research. Kama wasomi wenyeyewe ndio mfano wa Lissu nadiriki kusema Tanzania bado sana kupata wasomi. Sema wa kijiweni na makada hwawezi kuliona wenge/ombwe la kutafuta umaarufu na sifa zilizopitiliza uwezo wake Lissu watakuja kutukana hapa balaa.
Thread yake haitally na heading yake, nilijua ataonyesha viashiria vya schizophrenia alivyonavyo Lissu, lakini naona ni ugolo tu!Ungeziweka mkuu
He he he,Kwa sababu hata wewe ni Mgonjwa pia na ndiyo maana huwezi kumuona Mgonjwa mwenzako!