rhymes kal kexho tuktane studio😀😀Kwani wewe ni nani,na unauliza kama nani,sura kama nyani anayekula majani acha upunguani,kwanini unacheza juani,vaa miwani,yoo yoo oh yeah.
rhymes kal kexho tuktane studio😀😀Kwani wewe ni nani,na unauliza kama nani,sura kama nyani anayekula majani acha upunguani,kwanini unacheza juani,vaa miwani,yoo yoo oh yeah.
Hahaha sawa mkuurhymes kal kexho tuktane studio😀😀
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...Mkuu unaanza kuchanganyikiwa sasa,hueleweki.
Tuelezeni kwanza ruzuku ya chama ilivyotumika, yale makato ya bil nane za wabunge ziko wapi?Tunataka kizazi Cha kuhoji. Tundu Lissu kaonyesha njia.
MAGUFULI anataka kutuziba mdomo, anunue ndege Kama karanga tusiulize kwanini Hilo Jambo halikupitia bungeni.
Mnataka tuwe MAZEZETA Kama mlivyo wa CHAMA CHA MAZEZETA?
Your excellency i am just trying to preach but .... but I cant reach youKuna watu kutozwa zaidi ya kawaida, lakini usidanganyinike, Lissu hakuuliza yale kwa nia ya kujifunza au kwa kuwa eti kwamba hajui! Lissu alikua kwenye kampeni zake, hata kama NEC wamemzuia!
wewe unahoji kama naniMakamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
and we can make ize bizinesYour excellency i am just trying to preach but .... but I cant reach you
Sent using Jamii Forums mobile app
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
[/QUO.....je nikosa FUNDI mwashi kuulizia bei ya vifaa vya ujenzi?
ndani ya moyo wako,unajua lipi jema na lipi baya! ndani ya moyo wako unajua kama ao unaowatetea wanatenda haki mbele ya Mungu au wanatesa na kuua wasio na Hatia,ndani ya moyo wako unajua adhabu ya wauaji na wanaomwaga damu zisizo na hatia,ndani ya moyo wako unajua kama haya unayotetea ndivyo anavyotaka Mungu unaemwabudu au la.So sina cha kusema zaidi!! Mwenyezi Mungu akujalie wewe na wote wenye akili tope kama wewe lahaana ya milele
Maendeleo yana chama according to Mh. MagufuliMakamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Kesi dhurumati🤣🤣🤣Yaani katika wagombea woote wa kwao tu ndo wanajua kujaza forms vizuri...yana mwisho
Wewe unatoa wapi uhalali wa kuhoji Lisu juu ya kuhoji mapungufu ya CCM?
ANAHOJI KAMA MFA MAJI ANAYETAPATAPAMakamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Upo ushahidi wewe subiria utaona au unataka uletewe hapo gheto kwa cyprian Musiba?
CCM bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
yana mwisho pia kudhan unajua sheria tanzania nzima na kutokana mapolisi (majinga haya)
Wewe unahoji kama naniMakamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!
Kama mgombea urais.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ambaye ndio mgombea urais wa JMT wa chama hicho mh Tundu Lissu amewahoji wafanyabiashara wa pembejeo sokoni kariakoo namna wanavyolipa kodi zao TRA.
Lissu alitaka pia kujua kama wafanyabiashara wana uelewa wa usahihi wa kodi wanayolipa.
Chanzo: ITV habari.
My take; Tundu Lisu amewahoji wafanyabiashara akiwa kama nani?
Maendeleo hayana vyama!