Tundu Lissu amesema kuwa CHADEMA itakata rufaa dhidi ya hukumu ya Mbunge kwenda jela miezi sita

Naamini mdomo hukiponza kichwa lakini unaweza kutoa hoja nzito bila kupigana wa kutukana na ikaeleweka ni muhimu kubadili style mfano mzuri ya baadhi ya wanasiasa ni kama dr.Slaa,Lowasa hawawezi kupata misukosuko kama hawa wafungwa
 
Nawahakikishia kuwa chuki haijawahi kujenga chema. Hii chuki tunayoijenga leo ndiyo itakayokuwa fimbo dhidi yetu CCM. Pia tulifanya campaign chafu dhidi ya viongozi wetu ndani ya chama kwa kutegemea mambo yataenda vizuri leo hii mabaya yote yaturudia tumetuharibikiwa kilio kila kona. Tujifunze mtaji wetu ni nguvu zetu wenyewe.

Iko siku haki ya lema itapatikana, wanaondeleza mateso dhidi ya Lema iko siku kiboko cha Mungu ambacho hakibagui kitawachapa hii ni pamoja na kwa wale wanaotoa haki kwa uoga na maelekezo.
Na hii imetokana na upuuzi wetu watu ni wabinafsi wanajijali wenyewe hivi kweli wote kwa pamoja tungesema maonevu mwisho unazani nani angezuia maamuzi yetu?Lkn kwakuwa nchi hii inapelekwa ki maigizo zao lake ni hili tutafungwa bila makosa kwa maelekezo ya mtu moja kama vile yeye ni MUNGU lkn wacha niseme hivi the day are numbered haki ya MUNGU itafikia kila kitu kitaamuliwa kwa haki bila haya madudu yanayofanyika sasa hivi ni kweli kosa la lema halina zamana?hao wanaofanya hivyo wanauhakika ya kuwa hakuna hukum mbele yao ?ambayo MUNGU ataitoa kwao?Lkn kingine MUNGU wa kisasi hufanya hapahapa duniani,MUNGU atupe ujasiri tena wenye moyo wa kujitoa kabisakabisa ili historia iandikwe.
 
Kumwelewesha chizi ni kujipa kazi. siwezi kuendelea kupoteza muda kumwelimisha mtu ambaye hujitambui soma maoni yomboo yatakusaidia
Ukweli ni kwamba chadema hakina utu hata kidogo
Hata nafsi yako inalitambua hilo
Mwita amepata ajari akiwa kwenye majukumu ya chama lakini anahangaika peke yake kuuza shamba ili apate 3.5 m ajitibu huku chama kikimlipa mamilioni Wema ili ajiunge chadema.
Lema anapambana usiku na mchana kwaajiri ya chama leo anamatatizo mwezi wa nne sasa hata kwenda tu kumuona ni matatizo bora kwenda mpirani kuangalia simba na Yanga.
Familia ya Mawazo imetelekezwa ahadi iliyoahidiwa katika msiba hakuna hata moja pamoja na mazishi yake kuchelewa ili yatumike ki siasa.
Ben Saanane sasa ametumika kama muwa, baada ya kutumika sana ametupwa, ni mengi ila Yericho Nyerere anaijua vizuri sana chadema.
 
Inaumiza Sana. Mtu yuko jela mpaka sasa na kuna wanasheria wazuri tu.
Hivi hii kesi ilihukumiwa kimya kimya kiasi cha kushindwa kuwa na wakili??
Inakuwaje mbunge anafungwa Kwa kesi ya kijinga namna hii??

Watu waache kushinda wanapiga picha na kina Wema.

Ila sitashangaa Kwa Mahakama za Tanzania pale rufani itakapochukua zaidi ya miezi 6 Ndio hukumu halali inatolewa
 
Back
Top Bottom