Hahusiki: kwahiyo kiongozi yoyote wa chama akipata matatizo chama Hakihusiki, wala kutoa msaada?Mwambieni mwenyekiti wenu amwachie Lema kumbe unajua kosa lina dhamana .
yupo salama salmini wapi yupo?Mkuu Ben yupo salama salmini
Nakuhakikishia tunashiriki naye kwenye mijadala kwenye social media kama kawa akitumia id fake
Unavyowajua cdm ati mtu wao apotee kizembe hivyo wakae kimya
SIASA TU HIZO MKUU
Ameshindwa kupambana amtoe mahabusu, kosa lake si lina dhamana kabisa?
Wale uwezo wao mdogo kila siku wababuruzwa tu, kwanini asiende mwanasheria nzuri akamaliza kazi badala ya kumtetea Wema? Au Wema muhimu kuliko Lema?Kwani Godbless Jonathan Lema anatetewa na mawakili wa CCM?
Sheria zinasomewa Magogoni? Kama hujui kaa Pembeni, fuatilia makosa wanayofanya wanasheria wake ndiyo utajuaInaonesha dhahiri kutopewa dhamana ni maagizo kutoka magogoni
Ziko wap mbona hatoki?Kama kitu hujui Ni vyema Kukaaa kimya harakati zote za kumtoa lema huzioni?
Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema kuwa chama hicho kitakata rufaa dhidi ya hukumu ya kwenda jela miezi sita ya Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mheshimiwa Peter Lijualikali wa CHADEMA, iliyotolewa leo na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero,mkoani Morogoro. Tundu Lissu amekiambia kituo cha Radio cha EFM 93.7DSM kwamba, hukumu hiyo ni mwendelezo wa dhuluma dhidi ya wapinzani nchini. Amesema CHADEMA, pia watamwekea dhamana mbunge huyo ya kuwa nje wakati rufaa ikishughulikiwa.
ZanzibarKUNGEKUWA NA TANZANIA 'B' NADHANI WENGI WANGEHAMIA HUKO... hii nchi hata ibilisi mwenyewe anatoa machozi... maana hakuwahi kufanya maovu kama wayafanyayo CCM
Sheria zinasomewa Magogoni? Kama hujui kaa Pembeni, fuatilia makosa wanayofanya wanasheria wake ndiyo utajua
Haya maneno yenu ndio yanayo mgharimu LEMA....muwe mna busara kidogokwa ajili mtu ambaye anajiona ana mamlaka sawa na Mungu
Upuuuzi mtupu.....hiki ndio kisingizio mlicho baki nacho...sasa kama ni maagizo toka juu MAHAKAMANI MNAENDA FANYA NINI????au ndio wizi wa ruzuku kama kawaLema yupo mahabusu kwa maagizo kutoka juu.