Tundu Lissu amegundua nguvu ya Hayati Magufuli

Uzuri wa Kushukuru Mungu, Kila aliye na uwezo wa kutamka hilo anaweza.

Mungu ni mpuuzi sana, haswa ukichukua maana ya 'Tunamshukuru Mungu' kama wengi wanavyotumia msamiati huo. Hakika, wako wale wa PSALM 136 na wale wa NUMBERS 12:1

...na mie niliopo kwa wale wanaouliza, ndio Mungu huyo huyo Aliemlaza kibibi mungu mtu wa Ulaya?-kumbuka, Ufalme wa Kidhalimu wa Uingereza ulijitwisha Uungu, Kanisa: na ndipo kulikozaliwa ule Usemi wa -Separation of Church and State-? (nisahihishwe ikibidi) Ndio maana akazikwa mara mbili- mara ya kwanza na State, mara ya pili na Uungu wake, yaani church?

Propaganda zao walizojitwisha kutoka kwa wakoloni wanao endeleza Ukoloni mamboleo sasa zina jamba cheche(Backfiring) walitegemea hayo, na wana majibu Ati zimeletwa na Katiba? Wameanza kupindisha, ya rasharasha wanadai Umungu mtu umetokana na Katiba! Mbona hamumsemi Raisi wa sasa kumtoa kifungoni Mh. Mbowe anajifanya Mungu mtu? Kurudisha mihadhara kuwa ni Mungu Mtu, bali mmejaa pongezi kwa Mungu Mtu aliyetwishwa
na Katiba? Shabash

na vilvile ni wale wanaouliza mungu huyo huyo ndie anayepoteza watu, ni mungu huyo huyo ambaye ndio aliyewaleta watwana kutubaka, kutufanya watumwa, kutuua, na kufanya vitendo vya kigaidi Afrika mpaka Bunge la Uingereza kutaka kusambaratika? Kupata laana? (Neno waliilo tumia ni "Anathema") Huyo huyo huyo aliyemponya T.Lissu... kwa risasi, huyo huyo ambaye anamrejesha kutuokoa kutoka kwenye maovu, yaaani ni Mungu huyo huyo?

Nani Mwendawazimu? Nani Mungu mtu? Nani Dikteta(sasa anasadikika alikuwa uchwara) kupunguza makali ya makaripio!

Aisee kutokana na mchanganuo wa Mh. Zitto kuhusu 'vitu vinane' vinavyosadikika kuutangaza Udikteta. Kimoja au miongoni ya....Ni matarajio ya "Mwokozi" aliyechaguliwa na "Mungu" ikiambatana na Kutangazwa kuhusu ujio huo.....'Aliyeponywa kwa Kudra za Mungu' ?

Kitaeleweka.
 
Magufuli NI Mwamba na kila mtu atakiri hilo!!
Hivi hili sijaelewa hasa linamakusudio gani! Yaani watu wanaji organize na kumtetea Marehemu kwa nguvu zote kama vile anashiriki uchaguzi au anahitaji kupata nafasi fulani ya uteuzi?
Magufuli is gone akiwa wa hovyo na katili katika jamii ya wastaarabu. Kama kwako wewe binafsi alikuwa malaika mwema baki nayo moyoni msitukumbushe ushenzi aliotendea watu mkaacha watu wakaiangalia family yake kwa jicho la chuki maana wanakula neema ya kodi kwani sheria zetu zinaendelea kuwabeba
 
Ulichoandika ni mtazamo na nilichoandika ni mtazamo wangu. Mwisho wa siku ukweli unajidhihirisha.
 
Mku Biblia inasema mtu akisha kufa, hajui kitu chochote kinachoendelea hapa duniani mpaka hapo Yesu atakaporudi na kumfufua.
Soma kitabu cha Mhubiri 9:5-6
Hiki kitabu kinamtaja Yesu!!!
 
Hata mbowe hilo analijuwa kwenda mwanza akaanza mponda jpm watu walianza ondoka mdogo mdogo, akapata taarifa akaanza kusifia alichotumwa akajisahau akasifia akapitiliza. Watu wakajiuliza alikuja kufanya nini?

Tangu nilipo jua upuuzi wao kula sahani moja na mijizi ya nchi hii sinaga hamu nao.

Nyie endeleeni kupiga kelele wale ni wachumia tumbo.
 
Hao wananchi wa chini ndio Magufuli aliwadanganya kile kitambulisho cha Tsh 20000/- unaweza kuombea mkopo .

Kitambulisho kisichokuwa na jina , picha wala taarifa zingine muhimu ndio wanadanganywa mchana kweupe nao wanaitikia ndio na jinsii hii hao wanyonge tafsiri yake halisi ni kundi la wajinga.

Ni Lissu ndio alikuja kuwaelemisha hawa wajinga na kuwaelezea uhalisia kuwa wanadanganywa.

Matokeo yake ni kuwa Magufuli alikuwa akifanya kampeni siku chache anapumzika siku nyingi huku Lissu akifungiwa kwamba katoa maneno ya kashfa.
 
Lakini kiliwapa heshima mno kwa kufanya biashara popote
 
Back
Top Bottom