Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,959
- 95,282
Alafu akawaacha na marungu yao wamepigwa na butwaa pale ubarozi.Kesi za kina Jummaa pumba maharage , dah ila mwamba alikua kashindikana aisee, ilikua ngumu kumuonea onea kifala kama wanavyoonewa wengine, na urais akagombea na kura akapata vile vile ni kwakau tu ...............aliapa hatatoka